Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

February 8, 2020

Serikali ya CCM Mpya mkoani Mwanza yasisitiza hapa ni kazi tu , mvua za mafuriko watu wachape kazi waende wakalime. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alipokuwa anakagua kivuko kilichopo Buchosa Wilaya ya Sengerema, Mwanza


Source: MCL Digital
 
Ahadi ya mwana TANU

Nitasema kweli daima fitna kwangu mwiko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutakua tunafariji wapumbavu mpaka lini?
Hiyo kazi.fanya wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni jambo jema sana. "Watu kupata akili."

Tutakapofanikiwa kulitimiza hili, matatizo yetu mengi tutaondokana nayo.

Au ndio matatizo yataongezeka? Hili ni swali 'genuine' kabisa.
Watu hawapati akili kwa kusengenywa na kunyanyaswa, hapo unawaongezea msongo wa mawazo tu.

Watu wanapata akili kwa nchi kuwa na uongozi bora utakaowajali, kuwaelimisha, kuwashirikisha, kuwahamasisha na kuwaliwaza vizuri.

Magufuli kashindwa katika yote hayo.

Anajitengenezea uadui wa bure kabisa na wananchi wake mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…