Lindi ni kubwa sana mkuu, wewe umefika mjini hujafika maeneo mengi kama Nachingwea, Kilwa n.kNiliwahi kusikia mahali kuwa maana ya neno Lindi ni Bonde, sasa sijui ni kweli??
Hata haivyo kama umewahi kusafiri kwenda lindi, ukiwa unaukaribia mji unakuwa kama unashuka bondeni, mjiwenyewe upo bondeni.
Ndio maana makao makuu mapya ya mkoa wamejenga huko juu mlimani kuepuka matukio kama hayo ya mafuriko.
Mimi nilikuwaga mfuatiliaji wa hotuba za marais ila toka ameingia mzee hapo automatically tu nimejikuta sifuatilii ata siasa.Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa
View attachment 1354639
Sidhani ujenzi wa majengo yanayojengwa Dodoma yanazingatia tetemeko.kagera alisema hakuleta tetemeko ,kwenye ukame anasema yeye sio mungu ,
dodoma kuna njia ya tetemeko mbona kujenga makao mkuu.
ni tabia huwezi kuficha
Naona udikteta wake unagain momentum ngoja avuke 2020 mtamjua vizuri.
NASIKIA YALE MAFURIKO LINDI YANA CONNECTION NA UKATAJI MITI ILI KUPISHA UJENZI WA BWAWA LA UMEME(Mwalimu NYERERE H.E.P) NA MBAYA ZAIDI ILIKAKATAZWA KUONESHWA HILI TUKIO LIVE NASIKIA NI BALAA KUBWA MNO ILA KUREPORT MWIKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama vile nyie mlivyotulia baada ya mabeberu kukoroma.
dodge
Hoja ni kauli ya rais wakoNiliwahi kusikia mahali kuwa maana ya neno Lindi ni Bonde, sasa sijui ni kweli??
Hata haivyo kama umewahi kusafiri kwenda lindi, ukiwa unaukaribia mji unakuwa kama unashuka bondeni, mjiwenyewe upo bondeni.
Ndio maana makao makuu mapya ya mkoa wamejenga huko juu mlimani kuepuka matukio kama hayo ya mafuriko.
Henbu bishana na beberu kuu hapo pichani.Kumzuia Makonda ndio kukoroma?
Seems like Makonda aliwaharibia biashara wengi..[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Analake jambo na wana-kusini! nakumbuka kauli zake wakati wa sakata la koro-showBonge la ukatili! Hiyo siyo kauli ya mkuu wa nchi hata kidogo tena anayesubiri keshokutwa awapigie pushup kuomba kura zenu akijiita wa wanyonge.
Natamani nisikie wamemnukuu vibaya.
Haiwezekani kila azungumzalo ni bif tuu, na sijui kama anajua kuwa waliokufa wote na mafuriko ni hao wanyonge!
Sent using Jamii Forums mobile app
Donakantre pia tumo?
Huyu mzee akili yake anaijua mwenyewe.Haya ndiyo madini ya ukweli aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi kama alivyonukuliwa
View attachment 1354639
Kwa mfano angeanza kwa kuwapigia magoti na kuwabembeleza wakaazi wa bonde la msimbazi wasikae tena hilo bonde maana mvua za masika zinakuja kuanzia mwezi wa tatu.Alichosema kina ukweli lakini mmmh! nahisi angepunguza ukali wa maneno, angewakumbusha tu wajifunze kuzingatia katazo la kuishi mabondeni.