Ongea kuhusu pesa
Senior Member
- Nov 20, 2018
- 112
- 80
Mshahara wa dhambi ni mautiAfadhali kubaki bila chama kuliko kujiunga Na genge liitwalo ccm.
Huu ujinga unaoendelea wananchi tumekaa kimya tunaona poa,kwa kweli magufuli mwaka 2025 akistaafu nitamshangaa sana,nipate zali la kutawala nchi iliyojaa wajinga kama Tz ningetawala maisha
Wewe ndiye utakuwa mbovu. Unafikiri watanzania kwao mambo kama hayo ni habari tena? Uliza huko Mbeya kama watu wameshtuka?
Nadhani hawapotezi stahiki zozote baada ya kuhama.haiingii akilini kuwa umefanya kazi kwa miaka mine na miezi miwili halafu ukimbie uache stahiki zako zote ukiwa umebakiza miezi isiyozidi sita kuzipokea!!!
Huu upuzi hata mjinga haamini!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasiasa ni ndugu zetu. Wanatoka kwenye jamii yetu ile ile. leo wewe unawatazama hivyo wanasiasa, hebu tutazame kwenye sekta yako kukoje? Tuna janga la kitaifa hatutaki tu kukiri. hebu jiulize kama ni kweli hao madiwani 11 wameamua kuhamia CCM nini kilitokea kabla ya kufikia uamuzi huo maana hatujasikia kama kulikuwa na tatizo Chadema Mbeya la kiwango hicho, maana yake ni kwamba kulikuwepo na kipindi ambapo watu walikuwa wakikutana kupatana, maana haiwezekani kama wote walikuwa wakifikiria kitu kimoja. na hapo maana yake yalikuwa yakijadiliwa maslahi binafsi kabla ya kufikia decision. na kama ni hivyo, hawa watu wanafuata nini CCM?Chadema yote imehamia CCM. Then?
Watanzania ndio mjue kuwa hawa wanasiasa sio ndugu zenu!
CCM na CHADEMA wote ni matapeli wenye sare tofauti tu!
CCM ndiyo matapeli wakuu, hata ningekuwa mimi Diwani wa CDM wakinipa 50m siwezi ziacha...navaa miguo yao rangi ya nzi wa toilet ki geresha toto huku mpunga wa walipa kodi aka wa bure huo kwapani...Chadema yote imehamia CCM. Then?
Watanzania ndio mjue kuwa hawa wanasiasa sio ndugu zenu!
CCM na CHADEMA wote ni matapeli wenye sare tofauti tu!
Mkuu uongozi wa juu wa CDM unahusika sehemu moja tu, kushindwa kuzuia hii hali isiendelee.Usiihusishe wanaohama na Uongozi wa Juu wa Chadema , hauhusiki usije kubeba dhambi bure , kama hujui endelea kutokujua lakini usitunge uongo
Fungua akili, macho na masikio. Usilishwe manenoKwanini chama kinapitisha wagombea ambao wananunulika au waoga kupambana?
Kwanini chama kinapitisha watu ambao hawavumilii njaa?
Hata hiki kinachofanyika ni SIASA pia.Acheni kutu pumbaza Tunataka kujua issiue ya Lugola. Ni lini mnamfikisha mahakamani? Maana hizi zuga ni za kuwafanya Watanzania wasahau ya Lugola and company.
Hivi CCM chama chenye miaka mingi kwenye siasa kuliko vyama vyote Africa mmefikia mahali pa kusherehekea kupokea wapinzani?
Mna tia aibu. Ni kwamba mmekosa kabsa mbinu mbadala wa kufanya siasa? Nawainea huruma. Maana sasa huku mna bebwa na dola, huku tume ya uchaguzi, kule kununua wapinzani hadi raha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaondoka kwenye chama chenye DEMOCRASIA, kwanini?? Lakini pia kina mlengo Wa MAENDELEO, why???? Something wrong is there inKatibu Mkuu wa CCM, Bashiru Ally amesema kati ya Madiwani hao, 10 ni Madiwani wa Kuchaguliwa na Mmoja ni wa Viti Maalumu huku timu hiyo inayoongozwa na Meya ikiwa na Viongozi Watatu wa Juu wa CHADEMA.
Amesema kuwa Madiwani hao wanatoka katika Jiji la Mbeya kwenye Halmashauri inayoongozwa na CHADEMA na Mbunge wa Jimbo hilo ni Joseph Mbilinyi (Sugu) na kuwa huo ni ugeni mkubwa tangu aanze kupokea Wageni.
Aidha, amesema ameongea na Madiwani hao na kumueleza kwanini wanafanya uamuzi huo wakati huo na amefurahi sana maana kazi yake ni kuifanya CCM kutoa ushawishi na kupata wafuasi kila kona ya Nchi.
Suala la kuhama vyama wanachama wa kawaida au viongozi wachache au wastaafu ni kawaida sana sikatai.Fungua akili, macho na masikio. Usilishwe maneno
Suala la wanasiasa kuhama ni pana lakini linaelezeka.
Utapata jibu sahihi kama utajua;
Kwa nini Godbless Lena alihama TLP akaenda CDM
Kwa nini Msigwa alihamia CDM kutoka TLP
Kwa nini LISSU alitoka NCCR kwenda CDM
Kwa nini Hamad Rashid alitoka Cuf akaunda ADC
Kwa nini Zito alitoka CDM akaunda ACT
Kwa nini Maalim Seif alikimbia CUF akajisajili ACT
Kwa nini Lowasa alitoka CCM akaenda kuinunua CDM
Anyway, mifano ni mingi inayoonyesha sababu na mazingira tofauti yanayopelekea wanasiasa kuhama.
Ya mwisho kabisa ni kununua.