Tatizo ni jiwe yeye mwenyewe kwakushindwa kusimamia anayoyasema mbele ya vipaza sauti zaidi ya kujifanya mwema, mwerevu, mzalendo, mpenda haki na kiongozi wa wanyonge, mpinga ufisadi. Alikuja kwa gia ya tumbua tumbua ili ajenge hofu kwa watumishi, aweke watakaotii sauti take ili atakayotaka yasisemwe atawale atakavyo full stop.
Mangapi yamefanyika nje ya utaratibu ya aliyoyadimamia mwenyewe na nakuchukia hatua tukianzia kwenye swala la vyeti feki (Kuna watumishi hakuwatumbua pamoja na kuthibitika Wana vyeti feki), wakwepa kodi (Kuna kiongozi aliagiza makontena toka nje bila kuyalipia Kodi, ugomvi ukaibuka Kati take na wazuri wa fedha mpaka wazuri wa fedha kutishia kujiudhiru Kama Kodi haitalipwa) n.k
Nasema na HILI LITAPITA TU KAMA YALIVYOPITA MENGINE.
Kwahiyo tusidanganhane wala kuzunguka mbuyu hapa. Hakuna transparency Wala accountability kwenye utawala huu, Ila gusa maslahi take, UTAJUTA