Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

Mara nyingi haya Ni mambo ya siasa. Hapo Kuna mtu au watu wanatafutwa.

Wakisha timiza azma yao hii issue itaisha.

Na baada ya hapo yanaweza kununuliwa mengine ya Bei hata zaidi ya hiyo.

Cha maana ni kuwa na check up ya matumizi ya hizi mamlaka. CAG Angekua anawakagua na kutoa taarifa sahihi. Kwa Binge na Umma.

Hapo ndio vitu hivyo vinaweza kupatikana mwanzo wa kudhibiti, Kama wananchi au wanasiasa watakua na Utashi wa kudhibiti hayo.
 
Tatizo ni jiwe yeye mwenyewe kwakushindwa kusimamia anayoyasema mbele ya vipaza sauti zaidi ya kujifanya mwema, mwerevu, mzalendo, mpenda haki na kiongozi wa wanyonge, mpinga ufisadi. Alikuja kwa gia ya tumbua tumbua ili ajenge hofu kwa watumishi, aweke watakaotii sauti take ili atakayotaka yasisemwe atawale atakavyo full stop.

Mangapi yamefanyika nje ya utaratibu ya aliyoyadimamia mwenyewe na nakuchukia hatua tukianzia kwenye swala la vyeti feki (Kuna watumishi hakuwatumbua pamoja na kuthibitika Wana vyeti feki), wakwepa kodi (Kuna kiongozi aliagiza makontena toka nje bila kuyalipia Kodi, ugomvi ukaibuka Kati take na wazuri wa fedha mpaka wazuri wa fedha kutishia kujiudhiru Kama Kodi haitalipwa) n.k
Nasema na HILI LITAPITA TU KAMA YALIVYOPITA MENGINE.

Kwahiyo tusidanganhane wala kuzunguka mbuyu hapa. Hakuna transparency Wala accountability kwenye utawala huu, Ila gusa maslahi take, UTAJUTA
 
Mtoto wa Magufuli. Alisaidia ushindi wa CCM kule kwa Chiza. Baada ya kumtangaza Chiza akahamishwa usiku huo huo. Kuletwa Temeke. Kama akiweza sema hawezi kuongea na mwandishi wa habari, atashindwaje kuwa na mahabusu ofisini kwake. Tanzania ya Magufuli ina furahisha. Kila mmoja ni boss kwa nafasi yake..
Huyu Mkurugenzi Mwakabibi hawamuwezi, ana misingi imara chini yake inayompa majivuno. Hawamuwezi! Wataishia kuitwa kupewa maonyo. Hataki kufanya Kazi za wananchi, yeye kujiona na kunata tu. Kiburi hana mfano!
 
Naona hii movie iitwe"Like father like sons"
Maana baba ndio kanunua mavitu ya ajabu cash,na miradi isioidhinishwa
 
KAULI ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono...
Lakini huyu alitusaidia kushinda ule uchafuzi wa mwanzo kabisa kule Buhimbwe ndipo akapewa asante kwa kutolewa kijijini na kuletwa mjini. Hawezi kuguswa huyo
 
Shida ninayoiona kwa wengi wetu ni kudhani kuwa mkurugenzi anachukua mil 470 kuagiza gari, jambo ambalo sio kweli.

Vibali vyote vya ununuzi wa magari vinatolewa na ofc ya waziri mkuu kwa kiwango cha gari analo stahili mtumiaji wa gar hiyo kuna (executive na semi executive) sasa kama ofc ya waziri mkuu imeshindwa kung'amua stahili ta gari ni nani alaumiwe, wao ndo walitakiwa kutoa kibali sawa na hadhi ya gari husika!!

TAMESA, GPSA nao wanakwepaje mtego huu?
Madiwani wengi bado hawajajua namna serikali inavyoendeshwa, wapewe induction course!!
 
Kwa tuhuma hizi kali ngoja nivute blanket nisikilizie. Kufahamiana plus TYISI. Ngoja tuone
 
Mh!! Hili jipu lipo sehem nyeti.

Likitumbuliwa laweza ondoka na nyeti zenyewe.

Mi nashauri tupotezee, yaliyopita si ndwele, ila sasa uundwe mfumo utakao dhibiti mambo haya yasijirudie.

Xmas njema
 
Back
Top Bottom