Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

That is legal document not love letter kwamba useme pamoja na kukosewa hakuna lililoharibika.
 
Kipindi cha mwendazake huyu ajuza hakutia neno wala kutoa pua yake kaja kuonekana kwenye ishu ya bandari.
 
Kipindi cha mwendazake huyu ajuza hakutia neno wala kutoa pua yake kaja kuonekana kwenye ishu ya bandari.
Kabisa, halafu anadhani atatupoteza kwa kutembea na utetezi wa dini. Anaamini akicheza kete ya udini tutakaa kimya kwa kuhofia kuonekana tunamshambulia kiongozi muisilamu. Hii kete ya Udini hawa akina Faiza waliicheza sana wakati wa JK baada ya kuzidiwa kisiasa na Dr. Slaa. Hivyo wanaamini wakitumia kete hii safari hii itawabeba tena.
 
Kisheria "Government of Dubai", kama lilivyotumiwa na Mhe Rais Samia,ni tofauti na "Emirate of Dubai" lilivyotumiwa na kiongozi wa Dubai.
Pia kuna tofauti ya miradi itakayotekelezwa kati ya Power of Attorney ya Rais Samia na ile ya Dubai.
 
Hii ya udini ananikera sana halafu halijibu swali la ukomo wa mkataba linakimbilia mbona ukraine DP wamewekeza🚮🚮🚮🚮
 
Aifumue timu nzima ya wanasheria wake
Hakika wamemdhalilisha sana Raisi.
Haieleweki kwanini hawatulii na kusoma kwa makini.

Pia wanaweza kuwapa wataalam wengine wawasaidie kama Walimu wa vyuo Kikuu hata kwa Malipo.
 
Hakika wamemdhalilisha sana Raisi.
Haieleweki kwanini hawatulii na kusoma kwa makini.

Pia wanaweza kuwapa wataalam wengine wawasaidie kama Walimu wa vyuo Kikuu hata kwa Malipo.
Ukishaajiriwa tu serikalini akili huwa zinaenda likizo.
 
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.

View attachment 2686950.
Hiyo ndiyo maana halisi ya Katiba yetu kumpa nguvu kubwa rais isiyo na mipaka, inampa nguvu ya kusainia na ya nchi nyingine😅
 
Fursa nyingine kwa DP world...
 

Attachments

  • IMG140723.jpg
    56.1 KB · Views: 1
Fursa nyingine kwa DP world "HILI NALO WALITAZAME"...
 

Attachments

  • IMG140723.jpg
    56.1 KB · Views: 1
Ukiusoma huo mkataba wa kiswahili, kumetumika neno mkataba... Embu check kifungu cha 5, kifungu kidogo cha 3

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…