Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
That is legal document not love letter kwamba useme pamoja na kukosewa hakuna lililoharibika.Yalirukwa maneno "THE PROTOCOL BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA" kati ya maneno "TANZANIA" na "AND". Kwa vile hayabadilishi ukamilifu wa alichotaka Mhe Rais, yaani kumpa madaraka ya kusaini, hakuna lililoharibika. Angekuwa amesahau jina la Mbarawa, au lake yeye Rais, hapo ingekuwa mbaya. Hata hivyo yangeingizwa tu kwa mkono na kuwa initialled na pande zote mbili. Haya hutokea sana, inawrzekana hata haya yashakuwa initialled kwenye hati zilizobadilishaniwa.
Ya Ukrein hayatuhusu hata wakipewa nchi nzima wewe inakuuma nini, ishu ni bandari zetu kupewa mwarabu.DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?
Kipindi cha mwendazake huyu ajuza hakutia neno wala kutoa pua yake kaja kuonekana kwenye ishu ya bandari.Ni kweli tuna tatizo la shule, lakini wizi huu tunaouona kwa macho. Hiyo kampuni ya DP ni bortion tu lakini walioko nyuma ya hii deal ya kubinafsisha bandari zetu ni viongozi wetu. Rostam ndio aliyewasomea ramani viongozi wetu na kuwaletea hilo deal za kupora rasilimali za wananchi. Hapo hakuna mkataba na Serikali ya Dubai wala nini. Wajinga wameshtuka, subiri baada ya muda mfupi ukweli wote utakaa wazi na ww utajificha tu kama kipindi cha dhalimu.
Kabisa, halafu anadhani atatupoteza kwa kutembea na utetezi wa dini. Anaamini akicheza kete ya udini tutakaa kimya kwa kuhofia kuonekana tunamshambulia kiongozi muisilamu. Hii kete ya Udini hawa akina Faiza waliicheza sana wakati wa JK baada ya kuzidiwa kisiasa na Dr. Slaa. Hivyo wanaamini wakitumia kete hii safari hii itawabeba tena.Kipindi cha mwendazake huyu ajuza hakutia neno wala kutoa pua yake kaja kuonekana kwenye ishu ya bandari.
Hii ya udini ananikera sana halafu halijibu swali la ukomo wa mkataba linakimbilia mbona ukraine DP wamewekeza🚮🚮🚮🚮Kabisa, halafu anadhani atatupoteza kwa kutembea na utetezi wa dini. Anaamini akicheza kete ya udini tutakaa kimya kwa kuhofia kuonekana tunamshambulia kiongozi muisilamu. Hii kete ya Udini hawa akina Faiza waliicheza sana wakati wa JK baada ya kuzidiwa kisiasa na Dr. Slaa. Hivyo wanaamini wakitumia kete hii safari hii itawabeba tena.
Hakika wamemdhalilisha sana Raisi.Aifumue timu nzima ya wanasheria wake
Ukishaajiriwa tu serikalini akili huwa zinaenda likizo.Hakika wamemdhalilisha sana Raisi.
Haieleweki kwanini hawatulii na kusoma kwa makini.
Pia wanaweza kuwapa wataalam wengine wawasaidie kama Walimu wa vyuo Kikuu hata kwa Malipo.
Hiyo ndiyo maana halisi ya Katiba yetu kumpa nguvu kubwa rais isiyo na mipaka, inampa nguvu ya kusainia na ya nchi nyingine😅Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Fursa nyingine kwa DP world...Dubai sio nchi, na haina government yake. Nchi ni U.A.E ambao kimsingi ndo walitakiwa kusign kama Government na sio Dubai. Ndo mana kina Mwakabusi wana baseline za kusema iyo contract ni null and void. Ila unakuta kina Jerry Slaa wanaojiita wasomi wenye digree 7 wanautetea ndo hapo unakuja kugundua kina Jerry shule haijawasaidia
Fursa nyingine kwa DP world "HILI NALO WALITAZAME"...Dubai sio nchi, na haina government yake. Nchi ni U.A.E ambao kimsingi ndo walitakiwa kusign kama Government na sio Dubai. Ndo mana kina Mwakabusi wana baseline za kusema iyo contract ni null and void. Ila unakuta kina Jerry Slaa wanaojiita wasomi wenye digree 7 wanautetea ndo hapo unakuja kugundua kina Jerry shule haijawasaidia
Upo upande Gani mngazija?? [emoji101]Vipi Ruto anawahenyesha huko, nasikia kawahaza Al Shaba islii.
Ukiusoma huo mkataba wa kiswahili, kumetumika neno mkataba... Embu check kifungu cha 5, kifungu kidogo cha 3Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hili
Ushahidi ni huo.mkataba au wanavyoita sijui makubaliano waliopitisha wa DP World
Hakuna bunge pumbavu kama hiki toka nchi ipate uhuru hili.la kwanza
Mteule lazima atete ugali kwa ujinga akidhani atakuwepo ofisini mileleHivi mwanasheria mkuu anafanya nini huko ofisini? Anachekacheka tu?
Mkenya naona umekazana kwa fitina, wasiokujuwa wanakuona wa maana kweli.Upo upande Gani mngazija?? [emoji101]
[emoji116][emoji116]
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app