Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Yalirukwa maneno "THE PROTOCOL BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA" kati ya maneno "TANZANIA" na "AND". Kwa vile hayabadilishi ukamilifu wa alichotaka Mhe Rais, yaani kumpa madaraka ya kusaini, hakuna lililoharibika. Angekuwa amesahau jina la Mbarawa, au lake yeye Rais, hapo ingekuwa mbaya. Hata hivyo yangeingizwa tu kwa mkono na kuwa initialled na pande zote mbili. Haya hutokea sana, inawrzekana hata haya yashakuwa initialled kwenye hati zilizobadilishaniwa.
That is legal document not love letter kwamba useme pamoja na kukosewa hakuna lililoharibika.
 
Ni kweli tuna tatizo la shule, lakini wizi huu tunaouona kwa macho. Hiyo kampuni ya DP ni bortion tu lakini walioko nyuma ya hii deal ya kubinafsisha bandari zetu ni viongozi wetu. Rostam ndio aliyewasomea ramani viongozi wetu na kuwaletea hilo deal za kupora rasilimali za wananchi. Hapo hakuna mkataba na Serikali ya Dubai wala nini. Wajinga wameshtuka, subiri baada ya muda mfupi ukweli wote utakaa wazi na ww utajificha tu kama kipindi cha dhalimu.
Kipindi cha mwendazake huyu ajuza hakutia neno wala kutoa pua yake kaja kuonekana kwenye ishu ya bandari.
 
Kipindi cha mwendazake huyu ajuza hakutia neno wala kutoa pua yake kaja kuonekana kwenye ishu ya bandari.
Kabisa, halafu anadhani atatupoteza kwa kutembea na utetezi wa dini. Anaamini akicheza kete ya udini tutakaa kimya kwa kuhofia kuonekana tunamshambulia kiongozi muisilamu. Hii kete ya Udini hawa akina Faiza waliicheza sana wakati wa JK baada ya kuzidiwa kisiasa na Dr. Slaa. Hivyo wanaamini wakitumia kete hii safari hii itawabeba tena.
 
Kisheria "Government of Dubai", kama lilivyotumiwa na Mhe Rais Samia,ni tofauti na "Emirate of Dubai" lilivyotumiwa na kiongozi wa Dubai.
Pia kuna tofauti ya miradi itakayotekelezwa kati ya Power of Attorney ya Rais Samia na ile ya Dubai.
 
Kabisa, halafu anadhani atatupoteza kwa kutembea na utetezi wa dini. Anaamini akicheza kete ya udini tutakaa kimya kwa kuhofia kuonekana tunamshambulia kiongozi muisilamu. Hii kete ya Udini hawa akina Faiza waliicheza sana wakati wa JK baada ya kuzidiwa kisiasa na Dr. Slaa. Hivyo wanaamini wakitumia kete hii safari hii itawabeba tena.
Hii ya udini ananikera sana halafu halijibu swali la ukomo wa mkataba linakimbilia mbona ukraine DP wamewekeza🚮🚮🚮🚮
 
Aifumue timu nzima ya wanasheria wake
Hakika wamemdhalilisha sana Raisi.
Haieleweki kwanini hawatulii na kusoma kwa makini.

Pia wanaweza kuwapa wataalam wengine wawasaidie kama Walimu wa vyuo Kikuu hata kwa Malipo.
 
Hakika wamemdhalilisha sana Raisi.
Haieleweki kwanini hawatulii na kusoma kwa makini.

Pia wanaweza kuwapa wataalam wengine wawasaidie kama Walimu wa vyuo Kikuu hata kwa Malipo.
Ukishaajiriwa tu serikalini akili huwa zinaenda likizo.
 
Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.

View attachment 2686950.
Hiyo ndiyo maana halisi ya Katiba yetu kumpa nguvu kubwa rais isiyo na mipaka, inampa nguvu ya kusainia na ya nchi nyingine😅
 
Dubai sio nchi, na haina government yake. Nchi ni U.A.E ambao kimsingi ndo walitakiwa kusign kama Government na sio Dubai. Ndo mana kina Mwakabusi wana baseline za kusema iyo contract ni null and void. Ila unakuta kina Jerry Slaa wanaojiita wasomi wenye digree 7 wanautetea ndo hapo unakuja kugundua kina Jerry shule haijawasaidia
Fursa nyingine kwa DP world...
 
Attachments

  • IMG140723.jpg
    IMG140723.jpg
    56.1 KB · Views: 1

Fursa nyingine kwa DP world "HILI NALO WALITAZAME"...
 
Attachments

  • IMG140723.jpg
    IMG140723.jpg
    56.1 KB · Views: 1
Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hili

Ushahidi ni huo.mkataba au wanavyoita sijui makubaliano waliopitisha wa DP World

Hakuna bunge pumbavu kama hiki toka nchi ipate uhuru hili.la kwanza
Ukiusoma huo mkataba wa kiswahili, kumetumika neno mkataba... Embu check kifungu cha 5, kifungu kidogo cha 3

1689322622474.png
 
Back
Top Bottom