Kutojua kwamba hujui ni upumbavu. Sijui watu kama wewe mnaokotwa wapi na kwa malengo gani. Huo mkataba usingevuja huo upumbavu wenu sijui ungetufikisha wapi. Pole sana kijana.Unatakiwa kusema hayo makosa, sio kuja na sweeping statements.
Mwakilishi wao alisaini kwa niaba ya nchi yake tuu.
View attachment 2686958
Kwa hiyo wewe bibi mla urojo Kwa shule yako unaona hiyo document ipo sawaTatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Kwa hiyo wewe unaona ni sawa kabisa?Sasa kosa liko wapi hapo? Au lugha ndio inawapiga chenga?
Hii inaonyesha kumbe nyie mnaopinga ndio mnaweweseka
Kama huoni kosa sio kosa lako.Sasa kosa liko wapi hapo? Au lugha ndio inawapiga chenga?
Hii inaonyesha kumbe nyie mnaopinga ndio mnaweweseka
Sijaona kosa, sio kilugha wala kisheriaKwa hiyo wewe unaona ni sawa kabisa?
kwahiyo dubai hawakusaini au vipi? tuliingia mkataba na nani sasa?
Kwa hiyo hata wasingesaini hakuna shida Mkuu?Makosa yepi sasa hapo.
Iko walichofanya hao Dubai na Tanzania; kwenye ku nominate signatories kwa niaba ya nchi zao kinatofauti gani.
Moreover it doesn’t matter hizo sign hazifanyi hiyo IGA kuwa enforceable kisheria; isipokuwa process ya ratification tu.
Muda wowote hiyo treaty serikali ingeweza ikana katika kipindi ambacho bunge lilikuwa alijaridhia bado.
Mbona wakaidi nyie watu kwenye kuelewa mambo mepesi; mna complicate issues ambazo ni straight forward.
Hao wanasheria uchwara wanawapotosha sana na kuwaaribu your reasonability kwenye hili sakata.
Hapo inaonyesha hiyo power of attorney Tanzania imesaini Kwa niaba ya Dubai.Sijaona kosa, sio kilugha wala kisheria
Sijaona kosa, sio kilugha wala kisheria
Sijui kama unachoandika hapa hata wewe mwenyewe unayaelewa. Kwani mkataba mpaka sasa hauko ractified?Makosa yepi sasa hapo.
Iko walichofanya hao Dubai na Tanzania; kwenye ku nominate signatories kwa niaba ya nchi zao kinatofauti gani.
Moreover it doesn’t matter hizo sign hazifanyi hiyo IGA kuwa enforceable kisheria; isipokuwa process ya ratification tu.
Muda wowote hiyo treaty serikali ingeweza ikana katika kipindi ambacho bunge lilikuwa alijaridhia bado.
Mbona wakaidi nyie watu kwenye kuelewa mambo mepesi; mna complicate issues ambazo ni straight forward.
Hao wanasheria uchwara wanawapotosha sana na kuwaaribu your reasonability kwenye hili sakata.
Ndio iliobaki mtukane, mtishie kupiga watu, mlete vita, inchi isitawalike, vitisho na kila aina ya ukorofi,Kama hujaona kosa hapo basi wewe ni mpumbavu
Kwa hiyo neno and ndio mmelitafsiri hivyo?Hapo inaonyesha hiyo power of attorney Tanzania imesaini Kwa niaba ya Dubai.
Ila power of attorney ya UAE wao hawajasaini Kwa niaba yetu
Hiyo inaleta picha gani.
Hivi unajua maana ya kusaign au umuhimu wa signature kwenye nyaraka?
Wewe unaleta maendeleo?Ndio iliobaki mtukane, mtishie kupiga watu, mlete vita, inchi isitawalike, vitisho na kila aina ya ukorofi,
Ila hoja hamna, so endeleeni kutukana na kupiga kelele sie tunaleta maendeleo
Umeona ee? Wanachekesha kweliMtahangaika sana na bado.
Matusi hayataweza kuuza bandari yetu.Kwa hiyo neno and ndio mmelitafsiri hivyo?
Foolish, stupid, garastyova, pumbafu kabisa
Nendeni shule, hoja hamna
,😅😅😅DaahImetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.