Uonyeshwe makosa ili iweje wakati mkataba mzima ni wa wizi? Au mlidhani kwakuwa sio kila mtu ni mjuzi wa sheria, basi mtaweza kuhadaa watu? Kama kuna jambo limeshusha credibility yako huku jukwaani ni kutetea huu wizi wa kamachomacho. Mnatumia usomi wenu uchwara kupora rasilimali za nchi, kisa mnajua mna backup ya vyombo vya dola? Safari hii wajinga wameshtuka.Unatakiwa kusema hayo makosa, sio kuja na sweeping statements.
Wakati tunalia madhara ya dhalimu kupora chaguzi za nchi, mlikuwa mnachekelea kuona cdm wanakomolewa. Hamkujua madhara ya kiongozi kuchezea chaguzi za nchi madhara yake ni yapi. Sasa hivi tuna bunge la wezi wa mchana kweupe, na hawawezi kuhoji lolote la maana, kwani zaidi ya 80% wako huko bungeni bilaa ridhaa ya umma. Sasa mjue madhara ya kuwa na chama kimoja kukaa madarakani muda mrefu kwa shuruti.Binafsi naona hili bunge hopeless sana toka nchini ipate uhuru. Hakujawahi tokea kuwa na bunge hopeless kama hili
Ushahidi ni huo.mkataba au wanavyoita sijui makubaliano waliopitisha wa DP World
Hakuna bunge pumbavu kama hiki toka nchi ipate uhuru hili.la kwanza
menilazimu kurudi hapa kwenye ujinga wako huu.Unatakiwa kusema hayo makosa, sio kuja na sweeping statements.
Barua mbili zinaonekana tofauti kabisa.Tumeingia na agent (sio hata waziri) na agent atafanya hivo “individually” (yaani sio kama taasisi). Huku sisi tuna sahihi ya Rais kule wana agent!
Inasikitisha sana!!
Kumbe ata Zanzibar imo kwenye haya makubaliano/Mkataba.Mwakilishi wao alisaini kwa niaba ya nchi yake tuu.
View attachment 2686958
Yalirukwa maneno "THE PROTOCOL BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA" kati ya maneno "TANZANIA" na "AND". Kwa vile hayabadilishi ukamilifu wa alichotaka Mhe Rais, yaani kumpa madaraka ya kusaini, hakuna lililoharibika. Angekuwa amesahau jina la Mbarawa, au lake yeye Rais, hapo ingekuwa mbaya. Hata hivyo yangeingizwa tu kwa mkono na kuwa initialled na pande zote mbili. Haya hutokea sana, inawrzekana hata haya yashakuwa initialled kwenye hati zilizobadilishaniwa.Imetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Unamwongelea Jaji mkuu huyu aliyezawadiwa nafasi kinyume cha sheria?Huu mkataba wa kitapeli wa D P World yawezekana ni watanzania wenzetu wameamua kupitia mlango wa nyuma ili wapige pesa ndefu. Huenda ukiingia deep ukifungua nyuma ya pazia ukawakuta watanzania wamekaa wanakuangalia.
Kwa kuwa bunge haramu lililoongozwa na spika limeupitisha, basi tumshinikize jaji mkuu aunde tume kuchunguza huu mkataba. Jaji mkuu naye akishindwa basi tuingie barabarani tujaribu bahati yetu kuliomba jeshi lisaidie kuiondoa serikali iliyopo madarakani.
Dah, naona pumzi imekata kabisa!Tatizo lenu ni shule tu, hakuna zaidi.
Yaani kama maelezo muhimu ya nusu ukurasa tu yana ukakasi ni vipi yaliyomo ndani? Makosa haya ni makubwa mno kwa rasilimali kubwa ya Taifa.Yalirukwa maneno "THE PROTOCOL BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA" kati ya maneno "TANZANIA" na "AND". Kwa vile hayabadilishi ukamilifu wa alichotaka Mhe Rais, yaani kumpa madaraka ya kusaini, hakuna lililoharibika. Angekuwa amesahau jina la Mbarawa, au lake yeye Rais, hapo ingekuwa mbaya. Hata hivyo yangeingizwa tu kwa mkono na kuwa initialled na pande zote mbili. Haya hutokea sana, inawrzekana hata haya yashakuwa initialled kwenye hati zilizobadilishaniwa.
Kwahiyo kwa umuhimu huo mdogo hata wewe ungeweza kusaini hiyo IGA?
Shida yenu mnatabia ya kufikiria vitu vichwani kwenu halafu mnadhani that’s how the world works.
Ata mkipewa sheria husika zinazotumika kuandaa hizo treaty na article husika juu ya hoja zenu huo muda wa kusoma amna, halafu mnakadhana na mambo yenu ya uzwazwa.
Nimekutafutia link nyepesi kuelewa mantiki ya hao signatories kwenye hiyo IGA na legal implications bila ya ratification ni zero; ili treaty iwe na nguvu za kisheria lazima iwe ratified na mamlaka husika ambayo ni bunge kwa Tanzania.
Shida yenu ni kulishwa ujinga na kudhani dunia nzima inameza hizo porojo za wanasheria wenu uchwara.
OkZingatia vipengele,masharti tuliowekewa.
Kwenye kuingia Barabarani hapo mm ndo nnaapopataka...Vijana wangu nawarudisha burundi alikosema Yule fala Wa Mabasi ya Ester alafu narudi Tz kukiwashaaa.Huu mkataba wa kitapeli wa D P World yawezekana ni watanzania wenzetu wameamua kupitia mlango wa nyuma ili wapige pesa ndefu. Huenda ukiingia deep ukifungua nyuma ya pazia ukawakuta watanzania wamekaa wanakuangalia.
Kwa kuwa bunge haramu lililoongozwa na spika limeupitisha, basi tumshinikize jaji mkuu aunde tume kuchunguza huu mkataba. Jaji mkuu naye akishindwa basi tuingie barabarani tujaribu bahati yetu kuliomba jeshi lisaidie kuiondoa serikali iliyopo madarakani.
Walienda shule,ili wawe na maisha mazuri. hawakwenda shule ili waelimike!! ndio wasomi wengi walivyo. Hawana musaada ktk jamii!!Dubai sio nchi, na haina government yake. Nchi ni U.A.E ambao kimsingi ndo walitakiwa kusign kama Government na sio Dubai. Ndo mana kina Mwakabusi wana baseline za kusema iyo contract ni null and void. Ila unakuta kina Jerry Slaa wanaojiita wasomi wenye digree 7 wanautetea ndo hapo unakuja kugundua kina Jerry shule haijawasaidia
kabisa tena, waitowe wapi?kwamba waliosaini hawana?
Hii ni sifa kubwa ya Wasomi wa Kiafrika.Walienda shule,ili wawe na maisha mazuri. hawakwenda shule ili waelimike!! ndio wasomi wengi walivyo. Hawana musaada ktk jamii!!
Tumuombe Mungu atufungue tuliko fungwa!!Hii ni sifa kubwa ya Wasomi wa Kiafrika.
Ndio maana pamoja na kujaa PHDs Waafrika Weusi bado hakuna cha maana wanachoweza kufanya.
Amini nawaambia leo hii, huko Mbeleni hata IKULU itabinafsishwa.
Huko Mbeleni.
Kama miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kuiendesha Bandari yenye kutiririsha Pesa kila Sekunde tutaweza nini ?
Sisi bado ni Manyani?
RIP Mchungaji Christopher Mtukila. Mtu wa Maono makubwa hadi akapotezwa.
"Waafrika weusi bado tunaugua ugonjwa mzito wa EPIDOMIA. (UNYANI)"
Imekula kwao!! Mungu amewachoka!!Ukitaka kuijua Tanzania ni nchi ya hatari na yenye walafi sana, kaitafute ACACIA mahala ilipo sasa hivi.
ACACIA bila shaka ndani yake kulikuwa na migao ya ndugu zetu na Barrick aliitumia kama sehemu ya kupitishia migao ya ndugu zetu ili baadaye BARRICK apone na heshima yake isitetereke.
Huyu DP world inaonekana ni mchezo uleule, nyuma ya pazia wapo ndugu zetu na Chama chetu kimepewa ahadi ya hela ya uchaguzi 2025 ili chawa wa mama waweze kupata mafungu ya kampeni na kunenepa.
Inashangaza sana, mkono wa chuma ungerekebisha na kuchagua viongozi sahihi kutoka Mawaziri, wakurugenzi, wasimamizi wote wa bandari.Hii ni sifa kubwa ya Wasomi wa Kiafrika.
Ndio maana pamoja na kujaa PHDs Waafrika Weusi bado hakuna cha maana wanachoweza kufanya.
Amini nawaambia leo hii, huko Mbeleni hata IKULU itabinafsishwa.
Huko Mbeleni.
Kama miaka 60 ya Uhuru tumeshindwa kuiendesha Bandari yenye kutiririsha Pesa kila Sekunde tutaweza nini ?
Sisi bado ni Manyani?
RIP Mchungaji Christopher Mtukila. Mtu wa Maono makubwa hadi akapotezwa.
"Waafrika weusi bado tunaugua ugonjwa mzito wa EPIDOMIA. (UNYANI)"
Nyani anawaza KULA tu.
Tatizo sio kupewa Bandari tatizo ni aina ya makubaliano mnayoingia kuna muda uwe unafikirisha ubongo basi .DP World wanapewa bandari zote za Ukraine. Mnalijuwa hilo?