- Thread starter
- #61
Naona mmezidi kibri hata Magufuli alikuwa arrogant zaidi yenu.sana tena, uwezo wako ni mkubwa sana, lakini cha ajabu wenye uwezo mdogo ndiyo wanakuongoza!
Kazi ya Mungu haina makosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona mmezidi kibri hata Magufuli alikuwa arrogant zaidi yenu.sana tena, uwezo wako ni mkubwa sana, lakini cha ajabu wenye uwezo mdogo ndiyo wanakuongoza!
Kazi ya Mungu haina makosa.
Imekosewa vipi kilicho maanishwa hapo raisi amemteua waziri ku sign IGA ambayo inahusu serikali ya Tanzania na Dubai.Hata hiyi isiyo na nguvu inafaa kukosewa?
Msiwazulie.
Hapa ni nani anayehangaika, kama unaelewa kwa usahihi maana ya neno hilo?Mtahangaika sana na bado.
Hee ndo tumefikia hukoKuna Uzi uliletwa, nilichangia maoni kuhsu bandari, Kuna mtu alikuja PM kunitisha
Huko kwenye Bunge kuridhia ndiko kuliko na makosa tele. Yote yatachimbuliwa tu, usiwe na hofu.Isitoshe hizo signatures hazifanyi mkataba kuwa sheria; isipokuwa bunge kuridhia hilo ndio la msingi.
Ndiyo. Unakumbuka kilichomkuta Lissu
Usidhani wote hatujui kusoma, imeandikwa ON BEHALF OF kwa niaba ya nchi mbili… sio KUHUSU nchi mbili, haya ni maneno ya kisheria sio barua ya mapenzi kuwa unaweza kumwambia mpenzi wako nilikuwa nakutania.Imekosewa vipi kilicho maanishwa hapo raisi amemteua waziri ku sign IGA ambayo inahusu serikali ya Tanzania na Dubai.
Kwenye facebook sawa ila hapa unatwanga ni poa hakuna shida. Labda uweke namba za simu. Jumu ni ban tu ya kuogopa.Hii naweza kukubali kwasababu Kuna kipindi nilichangia mada ya corona ikatoea nimetumiwa email Kuna MTU alijaribu Ku login kwenye email Yanga.. nikatumiwa na IP address nikafanya backtracking likaja eneo la Dodoma karibu na jengo la Nssf kwenye Ramani lilikuwa named kama eneo la viwandani so Kuna namna tunatakiwa kuwa makini Kwasababu teknolojia inabadilika Kila siku..
Nashauri kutumia jf tukiwa tumewasha VPN..
Mbona kaeleweka. Anasema vipengere tata viwe vinarekebishwa kabla ya kusain sio kuingia kichwa kichwa.Viongozi kama wa aina ndio watu wa hovyo.
Serikali inatakiwa kutoa mwongozo official line ya maelezo yake; sio kila poyoyo aende na lake.
Amepata hizo 15 minutes of fame alizokuwa anatafuta sasa.
On behalf of Tanzania and the government of Dubai concerning………..Usidhani wote hatujui kusoma, imeandikwa ON BEHALF OF kwa niaba ya nchi mbili… sio KUHUSU nchi mbili, haya ni maneno ya kisheria sio barua ya mapenzi kuwa unaweza kumwambia mpenzi wako nilikuwa nakutania.
Vipengele tata vipi zaidi ya kuropoka tu mambo anayosikia jumla jumla si angevitaja.Mbona kaeleweka. Anasema vipengere tata viwe vinarekebishwa kabla ya kusaid sio kuingia kichwa kichwa.
Unatakiwa kusema hayo makosa, sio kuja na sweeping statements.Huko kwenye Bunge kuridhia ndiko kuliko na makosa tele. Yote yatachimbuliwa tu, usiwe na hofu.
Wameahirisha kufikiri kutokana na unyumbuImetokea kwa bahati mbaya au ilikuwa imepangwa na waarabu DP World kwa ujanja wao au ni uvivu wa wanasheria wetu kusoma kilichoandikwa kwa makini, na ni nani hasa aliandaa andiko hili. —-AND—.
View attachment 2686950.
Saini ya Mama iko wapi hapo jamani.Kuna Uzi nimesoma mdau mmoja kasema hii ishu ya bandari ni kikundi kidogo Cha mafisadi wanataka kujimilikisha bandari Kwa njia ya dp world inawezekana ni kweli maana haiwezekani rais wetu anasaini pande zote mbili Kwa kweli nikichekesho
Upo upside Gani?? [emoji101]Ufafànuzi upi zaidi kijana kwani mkataba unasainiwa baina ya nchi zipi?
Upo upside Gani?? [emoji101]
[emoji116][emoji116]
Sent from my vivo Y67 using JamiiForums mobile app