Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

Madudu ya Mkataba wa Bandari yazidi kuonekana. Rais alisaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai pia

sana tena, uwezo wako ni mkubwa sana, lakini cha ajabu wenye uwezo mdogo ndiyo wanakuongoza!

Kazi ya Mungu haina makosa.
Naona mmezidi kibri hata Magufuli alikuwa arrogant zaidi yenu.
 
Hata hiyi isiyo na nguvu inafaa kukosewa?
Imekosewa vipi kilicho maanishwa hapo raisi amemteua waziri ku sign IGA ambayo inahusu serikali ya Tanzania na Dubai.

Sasa itakuwaje intergovernmental agreement kama inahusu nchi moja.

Kuamua kuweka interpretation tofauti na kilichokusudiwa hapo hakufanyi hizo kelele kuwa halali.

Hakuna makosa yoyote zaidi ya cherry picking tu kutafuta vijisababu vya kupigia makelele mitandaoni.

Isitoshe hizo signatures hazifanyi mkataba kuwa sheria; isipokuwa bunge kuridhia hilo ndio la msingi.
 
Mtahangaika sana na bado.
Hapa ni nani anayehangaika, kama unaelewa kwa usahihi maana ya neno hilo?
Hivi vinenoneno unadhani ndivyo vitakavyosahihisha makosa makubwa yaliyofanyika kwenye zoezi zima la "Mkataba/Makubaliano"?
 
Imekosewa vipi kilicho maanishwa hapo raisi amemteua waziri ku sign IGA ambayo inahusu serikali ya Tanzania na Dubai.
Usidhani wote hatujui kusoma, imeandikwa ON BEHALF OF kwa niaba ya nchi mbili… sio KUHUSU nchi mbili, haya ni maneno ya kisheria sio barua ya mapenzi kuwa unaweza kumwambia mpenzi wako nilikuwa nakutania.
 
Hii naweza kukubali kwasababu Kuna kipindi nilichangia mada ya corona ikatoea nimetumiwa email Kuna MTU alijaribu Ku login kwenye email Yanga.. nikatumiwa na IP address nikafanya backtracking likaja eneo la Dodoma karibu na jengo la Nssf kwenye Ramani lilikuwa named kama eneo la viwandani so Kuna namna tunatakiwa kuwa makini Kwasababu teknolojia inabadilika Kila siku..

Nashauri kutumia jf tukiwa tumewasha VPN..
Kwenye facebook sawa ila hapa unatwanga ni poa hakuna shida. Labda uweke namba za simu. Jumu ni ban tu ya kuogopa.
 
Viongozi kama wa aina ndio watu wa hovyo.

Serikali inatakiwa kutoa mwongozo official line ya maelezo yake; sio kila poyoyo aende na lake.

Amepata hizo 15 minutes of fame alizokuwa anatafuta sasa.
Mbona kaeleweka. Anasema vipengere tata viwe vinarekebishwa kabla ya kusain sio kuingia kichwa kichwa.
 
Usidhani wote hatujui kusoma, imeandikwa ON BEHALF OF kwa niaba ya nchi mbili… sio KUHUSU nchi mbili, haya ni maneno ya kisheria sio barua ya mapenzi kuwa unaweza kumwambia mpenzi wako nilikuwa nakutania.
On behalf of Tanzania and the government of Dubai concerning………..

That’s a single statement.

Ana sign kwa niaba ya Tanzania na Serikali ya Dubai kwenye maswala ya makubaliano……..

Tanzania and Dubai ni two parties involved in the agreement.

Wewe ulitaka iweje maana ni ile ile na kilichoandikwa na upande wa Dubai tofauti ni wording tu.

Mwisho wa siku hizo signatures au difference in wording hazifanyi articles za IGA kuwa sheria isipokuwa the process of ratification.

It’s just a fuss about nothing
 
Mbona kaeleweka. Anasema vipengere tata viwe vinarekebishwa kabla ya kusaid sio kuingia kichwa kichwa.
Vipengele tata vipi zaidi ya kuropoka tu mambo anayosikia jumla jumla si angevitaja.

Makosa yanaanzia serikalini kushindwa ku control narrative ya serikali na kuteua watu kwenye technical position ambao sio civil servant.

A civil servant aliepikwa mpaka nafasi hiyo anaelewa awezi kwenda tofauti na official government lines of stance.

Ndio madhara ya kulipa fadhila na kuteua mitoto ya vigogo ata kama mijitu ya hovyo.
 
Kuna Uzi nimesoma mdau mmoja kasema hii ishu ya bandari ni kikundi kidogo Cha mafisadi wanataka kujimilikisha bandari Kwa njia ya dp world inawezekana ni kweli maana haiwezekani rais wetu anasaini pande zote mbili Kwa kweli nikichekesho
Saini ya Mama iko wapi hapo jamani.
 
Back
Top Bottom