Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?

Hivi hii mada imeletwa hapa kwa lengo gani hasa? Wanaowateua viongozi wa Idara zote za serikali ni nani?
 
Kama hakuna aliyepo lupango basi ni abracadabra tu.The cadava generation!
Mlizowea utawala usiofata sheria eeh? Jisomee halafu kamuulize huyu:

"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.
 
Miaka mingi uliyapiga wapi kelele, weka ushahidi. Halfu tuoneshe ni nani alichukuwa hatua ipi zidi ya alizochukuwa mama Samia?

Hiyo ni mwanzo tu, tutawafuunulia madudu mara kwa mara mpaka mjionee "mabota" kwanini ndiyo wamekuwa waa mstari wa mbele kulalamika.

cc: Mama Saimon
 
Hakukuwa na madudu kama yaliyopo sasa. Alitumia hiyo kama justification ya kumuondoa Kakoko ili aweke timu yake. Na hiyo ilikuwa bad move yake ya kwanza kwa kudhani aliowakuta wote hawamfai
 
Mimi ushauri wangu huu uwekezaji usiishie kwenye bandari, kila ikisomwa ripoti ya CAG Ofisi yoyote itakayokutwa na mapungufu apewe mwekezaji🐒
Hilo tayari, kwanza mashirika yote ysiyojiendesha kwa faida, yanaondoka. Tunarudisha enzi za Mkapa kwa kasi zaidi.
 
Mapungufu kwenye kuwakabidhi dp world,
 
Hakukuwa na madudu kama yaliyopo sasa. Alitumia hiyo kama justification ya kumuondoa Kakoko ili aweke timu yake. Na hiyo ilikuwa bad move yake ya kwanza kwa kudhani aliowakuta wote hawamfai
Ya sasa ndiyo hayo yanapigwa msasa, au ndiyo wale? Upo forodhani unauliza baharini wapi?

Wewe katika majina yaliyotajwa post #1 yupi mshirika wako?
 
Mlizowea utawala usiofata sheria eeh? Jisomee halafu kamuulize huyu:

"Mkurugenzi, PCCB nakuagiza uchukue hatua dhidi ya watu hawa haraka iwezekanavyo na kama hakuna taarifa nitakupa maelezo ya kilichotokea hapa," alisema Rais Samia.
Wewe Bibi, hicho kichwa chako kimebaki kama kitundio cha hijabu. Hakina akili hata kidogo.

Kwa taarifa yako, aliyekuwa Mkurugenzi na kuondolewa kwa Fitna za Samia, baada ya siku kadhaa aliteuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Wakala wa Meli.

Maana yake, hakukuwa na makosa yeyote. Bali kutaka kumuondoa kwenye nafasi husika ili uchafu uweze kupitishwa.
 


Nini ilitangazwa lini?
 

Katazame source na tarehe kwenye post #1, anzia kutafuta hapo.
 
masharti au vigezo vipi unavyoviongelea wewe? Mbona unafoka foka, tulizana, uliza vizuri tukuelimishe.

Unafahamu maana ya neno "elimu"?
 

Hii safi sana, maana kuna watu wanasambaza uongo, inatakiwa upelelezi chunguze namba zote wanazowasiliana nazo kwa simu na kwa messgaes. Vyanzo vitajulikana tu.

Hii ni vita ya kiuchumi kwa nchi yetu. Aidha watangazie waende wenyewe kwenye vyombo vya uchunguzi au waitwe namna hii.

Nashauri watazamwe ma group yao yote ya wharsapp, telegram, twitter, facebook na jadhalika. Ili vyanzo vijulikane.

Mimi nakisia. vyanzo vya haraka haraka:

1) Anna Tibaijuka.
2) karamagi
3) Adani
4) AD Ports
5) DP World
6) Wakurugenzi waliovunjiwa bodi yao bandarini.
9) Wakurugenzi wa shirika la meli lilitojajwa namba moja.
10) Taasisi za kidini.
11) Sukuma gang
12) Vyama vya siasa ikiwemo CCM yenyewe.

Naamini wengi humu JF ni makondoo tu yaliyokosa mchungaji. Vyanzo vitajulikana tu.

nawapa pongezi sana serikali kwa kuanza kuchukuwa hatua. Maana uongo ukizidi utaonekana ni ukweli.
 
Swala la bandari linajulikana wazi viongozi waandamizi wanamakampuni yao ya uchukuzi na usafirishaji ziwemo bandari kavu. Kibaya zaidi hawataki kulipa kodi halali, watataka wapitishe mizigo bure huku makampuni ya makabwela yakiminywa kwenye kodi na ushuru ili zisiweze kushindana na makampuni ya viongozi waandamizi. Anachofanya rais ni kukata kichwa kwa kutibu shingo. Anachotakiwa kufanya akae na hawa vigogo waambie wasiwe wanakula bila kunawa. Tunataka wawekezaji lakini kwa mikataba yenye maslahi kwa taifa sio ya kutufanya watanzania wote hatuna akili kisa tumewapa dhamana ya kutuongoza. Hatuna shaka na DP WORLD ila tunashaka na mkataba unaoenda kutuingiza chaka kisa rais anataka kufungua nchi kwa wawekezaji.
 
Kuna ufisadi mkubwa ambao unazimwa kwa kuleta kampuni kubwa za nje kuendesha bandari.

Wizi umezidi bandarini.

Kwanza hizi ICSID zote zijulikane zinafanyaje kazi na nani wapo nyuma yao.
 
Sisi tunasema hatukubali mzanzibari kuuza mali zetu kamwe
 
Ungeandika hayo enzi zile Magufuli alipogundua madudu bandarini pamoja na kontena za michanga ya dhahabu, pamoja na changamoto hizo Magufuli hakuuza bandari zetu kwa washihiri wa Dubai.
 
Sisi tunasema hatukubali mzanzibari kuuza mali zetu kamwe
Wewe sema unavyosema lakini ukweli utajulikana tu.


Nani anaekulipa au kama ni kondoio tu unaejazwa ujinga utafahamika tu.
 
Ungeandika hayo enzi zile Magufuli alipogundua madudu bandarini pamoja na kontena za michanga ya dhahabu, pamoja na changamoto hizo Magufuli hakuuza bandari zetu kwa washihiri wa Dubai.
Utakuwepo kwenye maandamnoi tarehe 22 au siyo?

Kumbuka tu kuchukuwa huo mkataba wa kuuzwa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…