Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

Tetesi: Maelekezo toka juu: Fungeni account za CHADEMA siku chache kabla ya mkutano mkuu, wape kesi ya utakatishaji

Sasa hii itakuwa haina tofauti na apartheid ya makaburu wa SA!
Mzee JK uko wapi mjomba wangu?
Rudia kuwashauri CCM watafute namna ya kupambana na wapinzani majukwaani na siyo kutegemea wasaidiwe na vyombo vya dola kushindana na wapinzani.
Tunaomba busara zako mzee.
Gari inatumbukia shimoni.
civil war is the solution ingawa hatuombi hilo.

Niwaulize polisi, ikitokea tukatumbukia kwenye situation kama ya Sudan, jiulize MTAKUWA MNAFIA NINI?

Upande mwingine wanaweza kuwa na justification kuwa TUNAFIA HAKI, TUNAPINGA KUONEWA, KUIBIWA UCHAGUZI, KUTEKWA, KUSINGIZIWA KESI, KUUAWA. They have a justified cause to die! Nyie polisi je mnafia nini kwa mfano
 
Sasa hii itakuwa haina tofauti na apartheid ya makaburu wa SA!
Mzee JK uko wapi mjomba wangu?
Rudia kuwashauri CCM watafute namna ya kupambana na wapinzani majukwaani na siyo kutegemea wasaidiwe na vyombo vya dola kushindana na wapinzani.
Tunaomba busara zako mzee.
Gari inatumbukia shimoni.
Mkuu unatoka povu kwa mada ya kijinga kama hii, kweli?!!!
 
Sasa hii itakuwa haina tofauti na apartheid ya makaburu wa SA!
Mzee JK uko wapi mjomba wangu?
Rudia kuwashauri CCM watafute namna ya kupambana na wapinzani majukwaani na siyo kutegemea wasaidiwe na vyombo vya dola kushindana na wapinzani.
Tunaomba busara zako mzee.
Gari inatumbukia shimoni.
Unamshauri aliyewapa ushauri! Hiki ni kiroja.
 
Sasa hii itakuwa haina tofauti na apartheid ya makaburu wa SA!
Mzee JK uko wapi mjomba wangu?
Rudia kuwashauri CCM watafute namna ya kupambana na wapinzani majukwaani na siyo kutegemea wasaidiwe na vyombo vya dola kushindana na wapinzani.
Tunaomba busara zako mzee.
Gari inatumbukia shimoni.
Acha kujinasibisha kwa watu ambao hawakufahamu!
 
Anguko la utawala karibia linatimia, hali ilivyo ni kama mfa maji
Watatumia pesa, vyombo vya usalama, uhalifu, ukatili lakini ndio wanazidi kuharibu
 
Wanazidi kuwafanya maarufu.

Hiv huko CCM hakuna Mtu mwenye akĆ­li hata mmoja?
Sasa mkuu kule mbogamboga walioshika mpini wote ni wazee, yaani kijana ana miaka 66 hao tayari wanafikiri kama wako enzi za mawe, sasa Wassira na yule mama ambaye alishindwa kazi Umoja wa mataifa watashauri nini? washauri akina Mary Chatanda? sikio la kufa halisikii dawa.
 
Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+

Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,

Britanicca
Kwa akili za Samia, lolote lile linawezekana.
 
Back
Top Bottom