Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,958
Saa100 na genge lake lote wahuni tu.
Umenena vema.Baada ya October 29 , nilibadili mtazamo juu ya wanaoitwa "waasi"
Hao sio wakosaji bali ni watu walioitafuta haki katika mfumo rasmi wakaikosa wakageukia mfumo mwingine wa kusaka haki.
Hivyo hata ikitokea wakaibuka na kudai msaada sitosita kuwachangia.
Naam, taratibu tunafika .Umenena vema.
Swadakta !!!Naam, taratibu tunafika .
AiseeeeNa sisi kila ikifika mil 5 tunatoa tunaweka kwenye trunker la Heche Tarime
Yaani kadri wanavyodidi kuwabana ndio wanawapa promo ya BURE kabisa. Si walisema wenyewe CCM wakiwa majukwaani kwamba chama kimekufa hiki? Inakuwaje wanakiogopa kiasi hicho?Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
Sa💯 ni mfa maji tu, kijitu kifupi kijingaHabari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
mbona wewe zipoHakuna mwenye akili CCM
Wale wanaoongoza nasemambona wewe zipo
Yale mauaji ile level ya mauaji hata makaburu hawajawahi kufanya vile zile maiti was so many zilikuwa zinakusanywa kama virobaSasa hii itakuwa haina tofauti na apartheid ya makaburu wa SA!
Mzee JK uko wapi mjomba wangu?
Rudia kuwashauri CCM watafute namna ya kupambana na wapinzani majukwaani na siyo kutegemea wasaidiwe na vyombo vya dola kushindana na wapinzani.
Tunaomba busara zako mzee.
Gari inatumbukia shimoni.