MgosiMnubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2022
- 1,836
- 3,153
.
Kwani kupokea pesa nyingi nje ni kosa, kampuni ya simu au benki itakayojaribu huo ujinga ndio kifo Chao miundombinu yao itachomwa moto yote na watakabiliana na kesi Mahakaman.Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
Wewe ni mavirelax gentleman plz 🐒
Useless is your mother's assthis is useless and nonsense narrative gentleman 🐒
WAHALIFU WA NJE WANAWEZA KUTUMIA MLANGO HUU HUU KUPITISHA FEDHA HARAMU KWA WINGI KABISA ZIKAJA LETA MADHARA KWA NCHI YETU,Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
Wapo wengi, tatizo hawatumiki inavyotakiwa.Wanazidi kuwafanya maarufu.
Hiv huko CCM hakuna Mtu mwenye akíli hata mmoja?
Safi sana,mpaka aseme basi Imetosha!Na sisi kila ikifika mil 5 tunatoa tunaweka kwenye trunker la Heche Tarime
"Low-minded" or narrow-minded people are characterized by cognitive rigidity, poor empathy, and an unwillingness to consider new perspectives. According to psychological and expert consensus, they frequently rely on stereotypes, exhibit black-and-white thinking, and prioritize their own ego over understanding othersHabari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
Kumbe wewe ni mpika majungu tu! Tena mfitiniHabari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
walukuwepo wenye akili akina HAMPHREY POLEPOLE na hata ushauri wa askofu Gwajima..lakini wana CCM wenye akili ushauri wao unapuuzwa,wanasikilizwa machawaHakuna mwenye akili CCM
akina jaji WARIOBA wazee wa CCM wenye akili na busara,lakini hawasikilizwiwalukuwepo wenye akili akina HAMPHREY POLEPOLE na hata ushauri wa askofu Gwajima..lakini wana CCM wenye akili ushauri wao unapuuzwa,wanasikilizwa machawa
Wakifunga account wananchi watapeleka chakula na mahitaji muhimu mkutanoni🤣🤣Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
Before your assassination of Heches's driver you said this foolish words like nonsense and useless, but still you killed him.this is useless and nonsense narrative gentleman 🐒
Mwaipopo chenga sana najitahidi kumpeleleza nijue ukweli wapi anaitolea hii sauti kila jambo yupo..Nyengine ni shaikh wa mkoa tokea kutolewa wanahisi anaweza kuleta maandamano kuna hatari kuuliwa na mwaipopo ndio mwenye nchini ya samia