hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Kwanini katolewa !?Nyengine ni shaikh wa mkoa tokea kutolewa wanahisi anaweza kuleta maandamano kuna hatari kuuliwa na mwaipopo ndio mwenye nchini ya samia
Kwanini katolewa !?Nyengine ni shaikh wa mkoa tokea kutolewa wanahisi anaweza kuleta maandamano kuna hatari kuuliwa na mwaipopo ndio mwenye nchini ya samia
Pesa 😁civil war is the solution ingawa hatuombi hilo.
Niwaulize polisi, ikitokea tukatumbukia kwenye situation kama ya Sudan, jiulize MTAKUWA MNAFIA NINI?
Upande mwingine wanaweza kuwa na justification kuwa TUNAFIA HAKI, TUNAPINGA KUONEWA, KUIBIWA UCHAGUZI, KUTEKWA, KUSINGIZIWA KESI, KUUAWA. They have a justified cause to die! Nyie polisi je mnafia nini kwa mfano
Huyo ndiye architect wa uchafu wote unaoendelea.Sasa hii itakuwa haina tofauti na apartheid ya makaburu wa SA!
Mzee JK uko wapi mjomba wangu?
Aisee. Kwenye kuna watu mmelala. Hivi bado tu hujajua kuwa huyo mjomba wako ndiye chanzo cha yanayotokea sasa hivi? Kwa akili ya kawaida kabisa, Samia, mwanamke, toka Zanzibar, angeweza kufanya unayama wote huu bila kuwa na backup ya watu wakubwa kabisa bara? Ni nani alimpitisha Samia kuwa mgambea kwa kulazimisha. Mmi siku zote nawaambia, Tanzania ilinza kuyumba pale Kikwete aliposhika urais. likuwa ni bahati tu kuwa kipindi chake, CCM ilikuwa na watu wenye nguvu na ushawishi kama Mkapa, lakini Tanzania ilikuwa kwenye mikono ya kiongozi mbovu kabisa. Pole sana sana ndugu yangu.Sasa hii itakuwa haina tofauti na apartheid ya makaburu wa SA!
Mzee JK uko wapi mjomba wangu?
Rudia kuwashauri CCM watafute namna ya kupambana na wapinzani majukwaani na siyo kutegemea wasaidiwe na vyombo vya dola kushindana na wapinzani.
Tunaomba busara zako mzee.
Gari inatumbukia shimoni.
Hii itakuwa poa sana.Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
"Mchawi mpe mwanawo amlee."Aisee. Kwenye kuna watu mmelala. Hivi bado tu hujajua kuwa huyo mjomba wako ndiye chanzo cha yanayotokea sasa hivi? Kwa akili ya kawaida kabisa, Samia, mwanamke, toka Zanzibar, angeweza kufanya unayama wote huu bila kuwa na backup ya watu wakubwa kabisa bara? Ni nani alimpitisha Samia kuwa mgambea kwa kulazimisha. Mmi siku zote nawaambia, Tanzania ilinza kuyumba pale Kikwete aliposhika urais. likuwa ni bahati tu kuwa kipindi chake, CCM ilikuwa na watu wenye nguvu na ushawishi kama Mkapa, lakini Tanzania ilikuwa kwenye mikono ya kiongozi mbovu kabisa. Pole sana sana ndugu yangu.
Wewe ni kati ya trusted source,Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
Hapo vizuri ,haitakiwi kukaa na hela hiyo account ,zitolewe ziwekwe kwenye tranka/sefu maana hao jamaa akili zao ni MAJI matupu.Na sisi kila ikifika mil 5 tunatoa tunaweka kwenye trunker la Heche Tarime
Hakuna mwenye akili CCM
Wanaopanga nao ni wanetu, wanatugongea fegi, tunachek nao world cup hadi mida mibovu, story zao ni za masononeko, tunakula nao kwa Mama ntilie, tuna bet nao kweny3 mikeka, wana hustle zaidi yetu na wakati mwingine tunawakopa bulu 5 za unga kwa kifupi we hustle with them. Maana si kati ya zile familia chache nufaika wa ubadhirifu!!Hizo nazo zimevuja
Dah, nimechekakwa nguvu. Mwamba sijui umewazanini hii comment yako? 😂😂Na sisi kila ikifika mil 5 tunatoa tunaweka kwenye trunker la Heche Tarime
Info zako hazijawahi kufeli,Habari za mtu wa ndani kabisa wa vyombo vya usalama amenambia kwamba wakeshapewa maelekezo kufunga account za chadema wakitimiza 200M+
Na imepenyezwa propaganda kuwa zifungwe zote za benk na Mpesa kisa zimepokea pesa nyingi toka nje,
Britanicca
Misemo ya kiswahili hii mingine inaposha na kudumaza fikra. Kikwete ndiye brain ya yote yanayotokea sasa hivi na kinachotakiwa kufanywa ni kumshughulikia."Mchawi mpe mwanawo amlee."
Sijui kama umenielewa.
Kweli akili yangu bado imelala.
Mtamuweza bwashee?ndiye brain ya yote yanayotokea sasa hivi na kinachotakiwa kufanywa ni kumshughulikia
Nothing impossible under the sun dearMtamuweza bwashee?