Huwa wanatrack mteja na dereva mkuu.Uber wako smart, sio rahisi kufanya hivyoEh sasa hapa maderava wakikosa wateja sio ndio watakapo tumia chance hii, yaani wata report kua mteja kanitoroka kumbe hakua na mteja wowote, au akamtumika rafiki yake na huyo rafiki akajifanya mkorofi wakati wa malipo kumbe ni deal Yao.
Kwa hiyo dreva atalipwa baada ya UBER kumtrack huyo mteja au kabla?Huwa wanatrack mteja na dereva mkuu.Uber wako smart, sio rahisi kufanya hivyo
Ni hivi mkuu; Uber inamdhamini mteja endapo hatakulipa, yani wao watakulipa kisha watawasiliana na mteja kujua kwanini hakulipa, na atalipa deni next time akitumia uber. Asipoonyesha ushirikiano account yake itakuwa discontinuedKwa hiyo dreva atalipwa baada ya UBER kumtrack huyo mteja au kabla?
Maana naona kazi ya kumtrack mteja ni ngumu sana labda hizo taxi ziwe na camera. Ulaya ndio kuna taxi yingi zenye kamera na still ni ngumu kumfuatia mteja alietoroka au mteja mkorofi.
Labdamgefafanua kidogo ili atakaejiunga awe na idea zaidi
Gari inayopaswa kutumika uber ni iwe na plate number ya commercial (kibao cheupe) au hata plate number private inaruhusiwa?Ukimfikisha ndo anakulipa, usiwe na wasiwasi kuhusu wateja wakorofi. Unapomfikisha mteja, akikataa kukulipa/akishindwa kukulipa wala hautakiwi kubishana nae;tena unamwachia kabisa aende.Ila utareport directly Uber, nao watakulipa, then ndo watadeal na mteja kivyao
nimekuelewa vizuri. Ukiagiza taxi inamaana tiari UBER wana information zako na number yako au sio hivyo?Ni hivi mkuu; Uber inamdhamini mteja endapo hatakulipa, yani wao watakulipa kisha watawasiliana na mteja kujua kwanini hakulipa, na atalipa deni next time akitumia uber. Asipoonyesha ushirikiano account yake itakuwa discontinued
Yoyote mkuu..hata private inaruhusiwaGari inayopaswa kutumika uber ni iwe na plate number ya commercial (kibao cheupe) au hata plate number private inaruhusiwa?
Wanakuwa na location yako, imei number ya simu yako, na namba yako ya simunimekuelewa vizuri. Ukiagiza taxi inamaana tiari UBER wana information zako na number yako au sio hivyo?
Vipi makato ya serikali (kodi) kwa anayetumia private number kibiashara au kwenye iyo 25% ya uber mnalipia?Yoyote mkuu..hata private inaruhusiwa
Unakatwa 25% tuuVipi makato ya serikali (kodi) kwa anayetumia private number kibiashara au kwenye iyo 25% ya uber mnalipia?
Natarajia kununua gari mwakan mwez January Mungu akibarik, nimegundua hii kitu ukiifanya kimalengo inakutoaUnakatwa 25% tuu
Ipo mkuuMbagala hamna hii huduma??
Kila nikisearch sipati uberdriver kabisa au pengine nashindwa kuitumia app ipasavyo mkuuIpo mkuu
Unataka kutumia usafiri wa uber kama msafiri au kama dereva? Ukitaka kuwa dereva kwanza fika ofisini Viva towers Posta; utapata maelezo zaidi.Ila kama msafiri search tu Uber,utaiona app ina icon ya rangi nyeusiKila nikisearch sipati uberdriver kabisa au pengine nashindwa kuitumia app ipasavyo mkuu
Hongera sana mkuu, endelea kutumia huduma ya Uber, na uwafahamishe na wengine pia waitumieUber imerahisisha sana maisha yangu
Nimetoka Ubungo stendi hadi Karume usiku wa saa saba kwa elfu nane
Hahaha!hiyo sio rahisi mkuu.Madereva wanafanyiwa background check kujua kama hawajihusishi na mambo ya uhalifuUtashangaa Dereva wa uber aliekuja kukuchukua ni scorpion mtoa macho wa buguruni utatokaje nduki!
Naomba uniPM details za account yako mkuuMkuu...mm account yangu imefungwa kbs siwezi kutumia uber utanisaidiaje?
SawaTatizo hilo huwa linatokea mara chache; naomba unitumie PM namba yako ya simu unayotumia kujisajili mkuu