dricks
Senior Member
- Oct 13, 2017
- 186
- 109
Asante kwa ufafanuzi mkuuJuzi nimemuitia ndugu yangu Uber nikiwa Moro..hiyo option ipo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ufafanuzi mkuuJuzi nimemuitia ndugu yangu Uber nikiwa Moro..hiyo option ipo mkuu
Asante kwa ufafanuzi mkuu
Samahani mkuu, hiyo ni trip kutoka wapi kwenda wapi ulkuwa unaBook?Sasa ninyi Uber mmeanza kuvimba kichwa na kulewa sifa
Kukusifieni sasa sio kigezo Cha kututesa.Kwanini mnapandisha bei hovyo hovyo kisa kuna demand kubwa?amNdio nini sasa
Nauli hapo huwa ni kati ya 7000 hadi 8000 na haijawahi kuzidi 9000
View attachment 653364
Hahaaha. Kwenye app ni 436,000. Ila hapo sidhani kama dereva atakubali kukupeleka umbali wote huoUbar dar moshi bei gan
Ha ha ha ha ha, Hawa walitembea takribani kilomita 3630 kwa Uber.Hahaaha. Kwenye app ni 436,000. Ila hapo sidhani kama dereva atakubali kukupeleka umbali wote huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ubar dar moshi bei gan
Kati ya 4000 hadi 5500Nimewaelewa sana uber kwa mfano kutoka mwenge mpaka ubungo inaweza kusoma sh.ngapi hv

Huduma ikishasambaa vya kutosha DSM, basi na mikoani itafika mkuuMko vizuri kuna Sikh nilikuwa Kawe pale Tanganyika pekaz nilijaribu, wako fasta nikakuta taxi ziko online zote zipo tayari ndani ya dakika 1 tu nauli kutoka Kawe beach to Kariakoo market 12500/= only,, nilipenda hiyo huduma na wanakupigia simu wenyewe,, kwa sasa nipo home Mbeya, sijui huduma mtaleta lini mikoani?