Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Maelezo ya kina kuhusu Uber. Usafiri salama na wa bei ya chini kwa mtanzania

Asante kwa ufafanuzi mkuu

Sasa ninyi Uber mmeanza kuvimba kichwa na kulewa sifa

Kukusifieni sasa sio kigezo Cha kututesa.Kwanini mnapandisha bei hovyo hovyo kisa kuna demand kubwa?amNdio nini sasa

Nauli hapo huwa ni kati ya 7000 hadi 8000 na haijawahi kuzidi 9000
IMG_20171218_070839.jpg
 
Mimi ni dereva wa uber nawashauli tu wadau tumieni huduma hii ni nzuri sana sisi madereva tupo kwa ajili yenu na pia nafulahia kufanya kazi na uber kwa kuwa kila kitu kinaenda kigital zaidi hakuna mambo ya kupatana bei wala kugombana. KARIBU UTUMIE USAFILI WA UBER..
 
Nimewaelewa sana uber kwa mfano kutoka mwenge mpaka ubungo inaweza kusoma sh.ngapi hv
 
Jaribu kutumia uber leo,download app, ingiza promocode ya ubertz5 upate nafasi ya kusafiri bure kwa safari isiyozidi tsh 6200

Mfano Mwenge-Ubungo
Makumbusho-Morocco
Kariakoo-Muhimbili
Posta-Kariakoo

Hizi ni baadhi ya safari ambazo bei yake huwa haizidi 6200; hivyo basi ikiwa ndo safari yako ya kwanza ukaingiza hiyo promocode basi utaweza kusafiri bure kabisa.

Na ikizidi 6200 basi utalipa kile kinachoongezeka hapo tuu
 
Jaribu kutumia uber leo,download app, ingiza promocode ya ubertz5 upate nafasi ya kusafiri bure kwa safari isiyozidi tsh 6200

Mfano Mwenge-Ubungo
Makumbusho-Morocco
Kariakoo-Muhimbili
Posta-Kariakoo

Hizi ni baadhi ya safari ambazo bei yake huwa haizidi 6200; hivyo basi ikiwa ndo safari yako ya kwanza ukaingiza hiyo promocode basi utaweza kusafiri bure kabisa.

Na ikizidi 6200 basi utalipa kile kinachoongezeka hapo tuu
 
Msimu huu wa sikukuu tumia Uber,usafiri wa usalama na uhakika
 
Msimu huu wa sikukuu tumia Uber usafiri salama na wa uhakika
 
Kwanini uhangaike, kusave namba za madereva teksi kibao kwenye simu yako. Pakua app ya Uber, popote ukipo basi ni rahisi kabisa kupata usafiri.
Ingiza promocode ya ubertz5 ili safari yako ya kwanza upate punguzo la tsh 6200 kwenye nauli. Na kama safari yako bei yake ni chni ya 6200 basi utasafiri bureee
 
Teknolojia inaenda mbele usikubali kuwa nyumanyuma kama kiwiko, download app ya Uber ujionee usafiri ulivyorahisishwa siku hizi. Na kwa kuwa utakuwa mteja wa kwanza, basi ingiza promocode ya ubertz5 na utasafiri bure safari yako ya kwanza
 
Haya sasa, ndugu,jamaa na rafiki uliyekuwa tu unasikia kuhusu Uber lakini hujui ni nini.

Uber ni app ya simu(smartphone) inayokuwezesha kupata usafiri wa Taxi haraka, katika jiji la DSM

Bonyeza hapa kudownload UBER kutoka playstore Uber - Android Apps on Google Play

Ikishadownload fungua app,ingiza namba ya simu na jina lako kujisajiri, kisha Nenda Payment> Add promo code> Andika TZABA065

Baada ya hapo Request ride, kama safari yako itakuwa fupi basi hutalipa kitu, safari ikiwa ndefu zaidi ya Tsh6200 basi utalipa kinachoongezeka tu hapo kwenye 6200.

uber advert.jpg
 
Mko vizuri kuna Sikh nilikuwa Kawe pale Tanganyika pekaz nilijaribu, wako fasta nikakuta taxi ziko online zote zipo tayari ndani ya dakika 1 tu nauli kutoka Kawe beach to Kariakoo market 12500/= only,, nilipenda hiyo huduma na wanakupigia simu wenyewe,, kwa sasa nipo home Mbeya, sijui huduma mtaleta lini mikoani?
Huduma ikishasambaa vya kutosha DSM, basi na mikoani itafika mkuu
 
Back
Top Bottom