Hapa si bure utakuwa unawashwa kunako makalio.Huu ni ubabe umetumika
Mbowe apunguze udkteta
Kwanini achangishe Wakati yeye ni bilionea?
Mbona we unamshangilia mpigaji wa zaidi ya bil. 1500 unashaa 2 tu kweli nyani haoni kunduleKweli mwenye nacho huongezwa, huyu jamaa kapiga zaidi ya Billion 2 kutoka akaunti ya chama, lakin bado kuna baadhi ya vijana wenye mtindio wa ubongo wanataka kumchangia zingine tena du! Kua uyaone!
Acheni janja janja
Mstaafisheni dikteta mbowe
Mbona baba yako ni dikteta kwa mama yako hulisemi?Acheni janja janja
Mstaafisheni dikteta mbowe
Hujui chochote kuhusu hiyo 1.5 t. , ni bora ungenyamaza tuongelee hizo za mbowe ambazo zimeleta mgogoro kwenye chama.Mbona we unamshangilia mpigaji wa zaidi ya bil. 1500 unashaa 2 tu kweli nyani haoni kundule
Kinachoniuma ni ile hali ya umbumbumbu walionao.Ndiyo wamemchangia.Si hela yao? Wewe chakuuma nini?
Hii itaakuwa njia sahihi sana. Kipindi hiki Mbowe ni muhimu kuliko muda wowote. Chadema msifanye kosa hili. Achana na mambo ya kubadirisha uongozi wajuu. Hili litaziba mianya ya CCM kupenyeza mamluki. Mkilogwa mkabadiri uongozi mmekwisha. Lazima kuangalia mazingira ya kisiasa tuliyo nayo.
Mtu anaapa kuua upinzani na ana vyombo vya kuuua, lazima kutafakari kabla ya kufanya lolote. Ingelijuwa wakati wa Kikwete, ingelifaa kubadirisha, LAKINI HATA HIVYO ISINGELIKUWA BUSARA KUSAHAU KITU KINAITWA INSTITUTIONAL MEMORY.
MBOWE ANAHITAJIKA KULIKO MUDA WOWOTE.
Nani kama Mbowe
Mbona baba yako ni dikteta kwa mama yako hulisemi?
Mi sijui ndio nimesema hivyo haya we unajua chochote lata ufafanuzi zilienda wapi? Ili tuanze kujadili za Mbowe. Maana nahic kama unajifanya hujui kama zilisababisha mgogoro mkibwa hapa nchini. By the way tunaotakiwa kujadili no sisi wanachama halali na sio we usiejua kitu kuhusu chama. Mi nazisemea 1.5 tr. Kwakuwa no za wote mbona sijahoji zole bil. 3... Za ccm kwenye report ya GAG mwadilifu.Hujui chochote kuhusu hiyo 1.5 t. , ni bora ungenyamaza tuongelee hizo za mbowe ambazo zimeleta mgogoro kwenye chama.