Ukinipa majina ya hao vijana wa CHADEMA, nikaangalia majina yao ya ukoo, nitachangia kueleza sababu yao ni nini.Vijana wa Chadema Mkoa wa Dar es Salaam wameanzisha kampeni kubwa ya kutaka Freeman Mbowe achukue fomu kwa mara nyingine ya kugombea Uenyekiti CHADEMA.
Kampeni hiyo yenye kauli mbiu #MwambaTuvushe imeungwa mkono na maelfu ya watu ambao wanachanga pesa zao kwa kiwango cha kuanzia mia tano ili kutimiza shilingi milioni 1 ya kuchukulia fomu ya uenyekiti.
Vijana hao wa CHADEMA wameapa kumchukulia fomu na kuzijaza kisha kwenda kumlazimisha kiongozi huyo kuzitia sahihi na baada ya hapo wazirejeshe.
Vijana hao wameamua kuanza kampeni hiyo kabambe baada ya Tetesi kuvuma kwamba Mwenyekiti huyo wa CHADEMA ameamua kutogombea tena nafasi hiyo.
Wafuasi hao wa CHADEMA wametishia kukesha nyumbani kwa Mwenyekiti huyo na kumzuia kwenda popote mpaka atakapokubali kusaini fomu hizo za kugombea Uenyekiti.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dr Vincent Mashinji alipuliza rasmi kipenga cha uchaguzi mkuu juzi na kutangaza uchaguzi mkuu wa kumpata Mwenyekiti mpya wa chama hicho utakuwa December 18.
=====
Michango ya wadau
Hutaweza tenganisha siasa hizi na ukabila. Usidanganywe, hapo ni suala la chama chetu. Ubaya sasa kitabaki kuwa cha mkoa mmoja maana nionavyo, Arusha haitawakubalia tena.Huu ni ubabe umetumika
Mbowe apunguze udkteta
Kwanini achangishe Wakati yeye ni bilionea?
Ukikuwa utaelewa!Zijaelewa..kama hachukui fomu watamlazimisha kwa kuzuia asitoke nyumbani kwake hadi akubali?
Subili Mbowe arudi madarakani ndo utaelewa ubaya wa kuungwa mkono kikabila. Next Bunge tunakuwa na ACT kama chama kikuu cha upinzani. Ruzuku zitakuwa haba. Ni aibu chama kinachobadili makatibu wakuu lakini siyo mwenyekiti.Ni jambo jema, lakini huyu ndugu ameumizwa sana na utawala kisa tu ni hicho cheo. Natamani angepumzika kupisha mwingine lakini huyu aliyetangaza nia nahisi harufu ya kijani. Hakuna jinsi, SISIEM waendelee kulala na viatu sharti Mbowe awe mwenyekiti, tena napendekeza hadi hapo atakapoona hawezi hata kutembea.
Majina yao ni KONDE BOY huyu Msuk -kma BoyHutaweza tenganisha siasa hizi na ukabila. Usidanganywe, hapo ni suala la chama chetu. Ubaya sasa kitabaki kuwa cha mkoa mmoja maana nionavyo, Arusha haitawakubalia tena.
Naona sasa Tundu Lissu hana wafuasi tena. Hakuna anayemuunga mkono?Hata mimi niko tayar! Mbowe amenifunza mengi sana kwenye maisha kupitia ukomavu wake kwenye siasa. ANASTAHILI HESHIMA KUBWA SANA,URAIS,UBUNGE WALA UWENYEKITI HAVIMTOSHI KUMPA HESHIMA ANAYOSTAHILI. MBOWE UNASTAHILI HESHIMA TUU MBINGU NA ARDHI VINAFAHAMU HILI HUJAVIKANYAGA BURE.
Acha porojo wewe
Hajawambia wachangishane wameamua wenyewe ubabe wake katika hilo ni upi?Huu ni ubabe umetumika
Mbowe apunguze udkteta
Kwanini achangishe Wakati yeye ni bilionea?
vijana elf kumi? wanazunguka nchi nzima kuchangisha milioni moja ya form ya mtu bilionare? duh? nisitie neno tena.
Pole sana nduguNaona sasa Tundu Lissu hana wafuasi tena. Hakuna anayemuunga mkono?
Poor Mwanakijiji !Zijaelewa..kama hachukui fomu watamlazimisha kwa kuzuia asitoke nyumbani kwake hadi akubali?
Ni haki yako kuwa na msimamo huo, na kwa kuwa wewe ni mpenda demokrasia, acha mchakato wa wazi na haki ufanyike, mradi tu isije ikafanyika kama Magufuli anavyotaka kulazimisha watu wafanye anavyotaka yeye.Mimi kama mimi msimamo wangu uko wazi, ni cdm damu kama taasisi na sio cdm mtetezi wa kiongozi, tena kiongozi mwenyewe akiwa amekaa madarakani muda wa kutosha.
Huku kulazimishana kumetoka wapi? Kama kupo, hilo ndio la kupigia kelele wakati huu, ili uchaguzi wa Mwenyekiti uwe wa haki, bila kujali Mbowe kakaa muda gani kwenye kiti hicho. Wengi wakimchagua kwa haki, nadhani hata wewe hutakuwa na pingamizi hapo.Huu mchezo wa kuendelea kulazimisha Mbowe awe mwenyekiti utaigharimu sana cdm. Fanyeni siasa za bei rahisi bila kuangalia madhara yake huko mbeleni.
Ni haki yako kuwa na msimamo huo, na kwa kuwa wewe ni mpenda demokrasia, acha mchakato wa wazi na haki ufanyike, mradi tu isije ikafanyika kama Magufuli anavyotaka kulazimisha watu wafanye anavyotaka yeye.
Huku kulazimishana kumetoka wapi? Kama kupo, hilo ndio la kupigia kelele wakati huu, ili uchaguzi wa Mwenyekiti uwe wa haki, bila kujali Mbowe kakaa muda gani kwenye kiti hicho. Wengi wakimchagua kwa haki, nadhani hata wewe hutakuwa na pingamizi hapo.