Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

Yes it really worked kwa watu. Unajua mambo ya Imani
 
Adui mkubwa wa Taifa hili ni ujinga. Na ujinga ndo mtaji mkuu wa CCM

Vijana wa kule Bangladesh waliamua kuwadhibiti wazee wote wasio na elimu ambao walikua ni mtaji mkubwa wa kura kwa wanasiasa majizi na mafisadi kupata ubunge,udiwani n.k .
Walihakikisha vipigia kura vyao vyote wanavidhibiti na kuhakikisha siku ya kura hawapati nafasi ya kutoka nje .

Vijana wa Kitanzania mliosoleshwa kwa Tabu sana na wazazi wenu waliokua wanaimani ya CCM ya wakati huo ili wajenge Taifa lenye haki ,ukweli kupinga rushwa ,utu na umoja msipo wadhibiti na kuwaambia ukweli kuwa hii CCM sio ile ya Nyerere ileshavamiwa na magaidi na wauaji wanaopata pesa kutoka Dubai ili kuangamiza vizazi vyenu kwa kuhakikisha mnakosa ajira ,mnabaki na imani za kishirikina eti shetani kuna mapepo yanazuia ajira zenu .

Ndio maana tuna serikali inayotegemea machifu ambao hawajui kabisa Dunia ya sayansi na teknolojia na vita ya uchumi kuwa itawaacha waafrika mbali sana.

Seikali inaweka tozo kwa ajili ya anasa kama mpira ,makongamano ,safari ,magari ya kifahari na sasa kurejesha utawala wa machifu ili baadae warejeshe na Usultani kule nahangaika kule Loliondo walipowakabidhi Waarabu kuwa jimbo lao.

Kifo ni kifo tu alimradi hakiwagusi wao .

Hilo nalo nendeni mkaliangalie.
 
Exactly
 
Hawa ndio wanaofanya viongozi wa Brazil watuone sisi ni zero brain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…