Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa


Aiseee watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa....Kuna msukule mmoja naye alikuwa anaamini wanamroga asijenge kwenye kiwanja chake basi akaja kuweka maudongo ya upako ,cha kushangaza mwaka wa nane huu hata tofali moja hajawaweka....kiwanja full majani.
 
Wacrist wavivu sana kusoma kitabu Chao (bible) , Kila kitu kipo wazi mule kuhusu ujio wa hawa Vishandu, nduguzetu maharifa yanatafutwa kwenye maandiko, someni kitabu chenu musikubali kulishwa Upupu pori.
 
Kuna waliochukua
Wakamwaga shambani na mazao yakazaa Kwa wingi
Tusiwabeze,kila mtu na Imani yake.
 
Watu wajinga kweli hawa.
 
Kwanza kufanikiwa ki miujiza hakupo.. yaani uombewe tu ufanikiwe thubutuuu.
 
Hakuna Biblia iliyoandika "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Imeandikwa "watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…