We ndiye umeacha hoja ya mleta mada, nilichofanya mimi ni kuja na data za kukutandika kila ulipojaribu kuinama ili ufiche suraKwa hio umebadili data na kwenda OP kabisa? Hizi zinahusiana nini na hoja ya mtoa mada?
Wamejaa sana Uingereza na kanada kuliko mahali pengine popote.Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
Mkuu swali linnaulizwa Warabu wana imigrate kwenda wapi. Sio Hao Waislam wa Buza wanaoenda kujazana Sadia wakati wa Hijjah.Hizo data ni za world bank
View attachment 3144301
Unaweza ukaziangalia vizuri hapa
Na hizi ni total immigrants unazotumia wewe
View attachment 3144302
Hili swali lako ni deja Vu mkuu, nimeulizwa hili swali exactly kama lilivyo na jibu lake ni kwamba watu wana Allergy na data.Ok,kiongozi niseme ukweli uko sahihi lakini kuna muda lazima ujue nini kinahitajika na wapi?(Natambua unajua vitu vingi lakini unaposhindwa kuchagua sehemu sahihi ya kupachika data zako ni kwamba zitaonekana hazina msaada)
Mada inaongelea kwanini waarabu kwa utashi wao wanaenda kuishi Marekani(topic of debate).Wewe upo upande wa ku-argue against the topic(kutetea hoja zako unaniletea takwimu za wakimbizi ambazo kwa mada hii sidhani kama ni za muhimu).
Kulinda hoja zako wewe sema waarabu wanakwenda Marekani au hawaendi? Na kama ni kweli wanaenda sababu ni zipi zinawafanya wao wachague Marekani na si mataifa mengine?
Mtu anekwenda kuhiji sio Migrant, na mwarabu anaweza toka Palestina na kwenda Saudia ama Uae, migration sio lazima uvuke Bara.Mkuu swali linnaulizwa Warabu wana imigrate kwenda wapi. Sio Hao Waislam wa Buza wanaoenda kujazana Sadia wakati wa Hijjah.
Unajitekenya na Kucheka? Data zako zinaonesha Saudi NA UAE kama destination kubwa ya migrants.We ndiye umeacha hoja ya mleta mada, nilichofanya mimi ni kuja na data za kukutandika kila ulipojaribu kuinama ili ufiche sura
Bosi nimekuwekea hadi defenition ya propotion? Mbona tunachoshana hivi? Comprehension ni janga la Taifa kwa kweli.Sasa wewe unasemaje Bahrain yenye raia milioni 1.5 ina immigrants wengi kuliko US yenye immigrants milioni 3 kwa mwaka??
Halafu immigrants sio lazima uishi permanent, wapo pia temporary immigrants, Qatar ilipata temporary immigrants wengi mwaka 2022 wakati wa kombe la dunia ambao walikuwa ni vibarua kutoka Nepal walionda kujenga Stadiums, fuatilia taarifa ya malalamiko yao jinsi walivyokufa kwa maelfu kutokana na kazi ngumu kwenye joto kali.
Kwa nini unailinganisha nchi moja ya US na bara zima la South America??Hili swali lako ni deja Vu mkuu, nimeulizwa hili swali exactly kama lilivyo na jibu lake ni kwamba watu wana Allergy na data.
Sehemu pekee ambayo waarabu wapo wengi Na wakilalamika wana haki ni South America
USA Population ya waarabu ni 3.5M tu, compare na SOUTH America ambapo wapo Takriban milioni 27.
Kipindi cha civil wars za Lebanon, Syria, Palestina na kwengineko wengi walienda South America na SIO ulaya na Usa kama wengi wanavyotaka kutupiga kamba humu na "Trust me bro evidence".
Sehemu nyengine yenye waarabu wengi ni Ufaransa ila hii ni special case kwa Ufaransa, Algeria, Morocco na Tunisia toka kipindi cha Ukoloni.
Na waarabu walioenda South America walienda ikiwa bara ni masikini kabisa, Waarabu wa Palestina/Lebanon/Syria ni wasomi na wana ujuzi sana wa kali transform hilo bara toka bara giza kama Africa kubwa bara linalo endelea kwa kasi,
Hata ukichukua Nchi moja moja mathalan Brazil ina waarabu milioni 12, Argentina 4.5M etc.Kwa nini unailinganisha nchi moja ya US na bara zima la South America??
Sasa unaenda marekani kufanya nini kwa mfano? Mimi hata unipe uraia siendi.Unajua kwa nini hata ukiwa masikini ukiomba visa ya Dubai asubuhi jioni unakuwa umeipata tofauti na visa ya Marekani ambayo kama sio tajiri, unaenda kusoma, umeshinda lottery yao au una mdhamini/ndugu zako huko unaweza kuitafuta miezi na bado usiipate??
Maneno ya mkosaji kiongozi achana nayo(ni kweli hutoenda lakini wenzako wataenda unajua sababu ni nini?)Sasa unaenda marekani kufanya nini kwa mfano? Mimi hata unipe uraia siendi.
Linchi limejaa mabaradhuli mpaka vitoto vinabeba bunduki vinaenda kuua wenzao shuleni hiyo ni nchi au takataka
Muwe mnaenda shule,siyo kulewa tu na meno yenu mliyong'ata nyaWanywa mbege kibao tu ni maprofesa. Elimu ya hili linaloongelewa hapa, inaonekana wewe huna.
Hahahaha eti highest stage of civilization..ndio ile ya kuwa na mapadri na wachungaji mashoga sio?Maneno ya mkosaji kiongozi achana nayo(ni kweli hutoenda lakini wenzako wataenda unajua sababu ni nini?)
The US has reached the highest stage of civilisation in modern history(na hii ndio sababu kwanini utaona waarabu na watu wengine wanakimbilia huko).
Unaweza kusema hao mapdri ni asilimia ngapi ya wamarekani? Halafu kuna dini ambayo haina viongozi walawiti?Hahahaha eti highest stage of civilization..ndio ile ya kuwa na mapadri na wachungaji mashoga sio?
Nimeongelea cilivisation being at the highest stage in the US.Jambo la kuepo mapapai Marekani ni nje ya mada kiongozi.Hahahaha eti highest stage of civilization..ndio ile ya kuwa na mapadri na wachungaji mashoga sio?
Kweli nyie ndugu zetu viongozi wenu hawajakosea kuwaita makondoo