Maendeleo: Ndege za ATCL mbioni kuanza kutua Chato

‎Stop misleading, Mwanza's passengers don't just come out of Pansiansi, nor of Dar es Salaam, so do Chato!" Mwanza passengers are from all districts of Mara, Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita etc. Currently Chato will come from The Districts of Geita Province, Shinyanga, Kagera. It is neighbouring major Mines Geita Gold Mine, Kahama, Biharamuro, Ngara etc. Chato is not a village headquartered in the District. Why are the ATCs going to Kigoma, Katavi, Songea etc., Why not Chato?!‎
 


Tukiweka wanasiasa kwenye biashara tatizo lake biashara inaisha na Raisi aliyopo.
 
hahahah mkuu na taarifa zako kama kawaidaa 😂😂
 
We naye sindio wale wale
 
Hivi kwenye hayo mabegi wanabebaga nini hao wahudumu wa ndege?
 
wasukuma watazikimbia hizo ndege na kudai kwamba wamevamiwa.
Msukuma akiingia bafuni, anasugua yeboyebo masaa mawili mpaka iwe nyeupe
Msukuma anapenda vitu vyeupe, siku akitaka kuulamba ni shati nyeupe, suruali bwanga jeupe lile la kung'ara linalo meremeta, na yeboyebo nyeupe.
sema nini? msukuma wetu kawaweza anawapelekea ndege nyeupe, angalau hii itawavutia wanaweza wakazivumilia wasikimbie
Au nasema uwongo ndugu zangu wasukuma. kinehe, ngoshaaa.
 
Nani kawaambia hizi flights za usafiri wa ndege wa ndani ni direct routes tu? Yaani kama ni Dar - Chato basi ndege hiyo haipiti kuchukua au kushusha abiria sehemu nyingine kokote nchini?

Kwa kuwaelimisha tu:
1. Ndege inaweza kutoka Dar ikapitia Tabora, Shinyanga, Geita (Chato) hadi Bukoba. Na itakuwa imekamilisha route hiyo ndani ya masaa mawili na gharama yake kwa kila abiria ni wastani wa sh 200,000/ . Ndege hizo zina uwezo wa kubeba wastani wa abiria 100 kwa wakati mmoja. Hivyo route hiyo inakupa sh. 20 million. Ukijumulisha na return route unapata sh 40 million.Ndege hizi ni very economical kwa maana zinatumia mafuta kidogo sana. Yaani kwa trip hii kwenda na kurudi itatumia si zaidi ya lita 2,000 za mafuta ya ndege ambayo ghatama yake haizidi sh 4 million!

2. Route nyingine inaweza kuwa Dar- Mwanza- Geita- Bukoba and back. Route hii gharama zake ni kama hiyo route ya kwanza. Route hii ina wateja wengi sana. Hivyo ndege kama za airbus na dreamliner zetu zinaweza kuitumia kwa faida kubwa zaidi kuliko hata hizo route za kwenda Comoro au India. Zinaweza hata kufanya route mbili kila siku na zote zikajaa. Uchumi wa kanda ya ziwa si wamchezo, hiiiiiiii bagosha!
 
Kuna abiria gani huko wa kutosha kuleta faida , kuna mizigo gani ya kutosha kuleta faida .
 
Sio lazima kuwe na abiria kila siku sometimes tunaweza kukodi tunasombea matofali hata kusafirisha ng'ombe
 
Acha kusifia sifia ujinga... Umekuwa kama zuzu we chochote unasifia tu fyuuu
 
Mie napajua Chato, wewe hupajui, jaribu kuwa mkweli. The nearest aiport ni Lubumbashi maili 200 au Mwanza maili 300. Hapo katikati kuna watu zaidi ya milioni 4, wakulima na wafugaji, Watanzania kama wewe. Linganisha na safari fusion tu ya Moshi hadi Arusha maili 60 tu lakini kuna international airports 4 (KIA, Arusha, Kahe, Embakasi). Na idadi ya raia ni milioni 2 tu.

Ukitoa data za lami, shule, umeme, hospitali, maji na tigopesa, utakuta shida ni hiyo hiyo: eneo kubwa, watu wengi, utajiri mkubwa, lilisahauliwa. Ni eneo kubwa kuliko Belgium. Uchumi wake dhahabu, hadi mabeberu wanampa tundulissu nishani awatetee wazidi kutuibia makanikia.

Eti wakose abiria 10. Na hawo watalii wa Burigi Chato national Park wataenda na ungo? Akutukanaye?
 
Kama abiria wapo kuna ubaya gani? Sio lazima waende Mwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…