Mwandiko wako unaonyesha ni mtu wa aina gani.We nae ndyo wale wale wanaoumwa ugonjwa wa colonial mindset disorder ....angeongea kichina wala msingeshoboka kiivi!
We ni mgonjwa unahitaji tiba haraka sana...mental disorder ya kuona lugha ya mzungu km lugha ya malaika inakusumbuaBig deal sababu sasa hivi watu wangapi wanaweza kwenda kuongea kwenye chombo kama BBC bila mkalimani? Watu hawajiamini ila hawa vijana wa Arusha wanaweza kuongea ngeri, ung'ee bila shida. Kama umeona wivu kafie mbali ndiyo maana maofisini na vitengo vingi tumejaza watu wa Kenya na Uganda mpaka watoto wetu wanafundishwa na hao watu kisa, mnaona kuonge ung'e ni aibu kumbe wavivu.
Na wewe kuniambia naona wivu unaona umetumia lugha sahihi!!Mwandiko wako unaonyesha ni mtu wa aina gani.
Hata heshima kwenye uchaguzi wa maneno katika maandiahi yako hauna.
Ni sifa iliyotokana na maandishi yako.Na wewe kuniambia naona wivu unaona umetumia lugha sahihi!!
Mombasa ni kuzimu ya AfricaArusha ikiwa Geneva ya africa mombasa itakuwa nini?
Ile double road tuache utani ,Mkwere ana mapungufu yake ila pale kafanya la maana sana .Nilipita na mzungu flan kwenye ile barabara mpya kuanzia ngulelo mpaka tengeru akanambia panafanana sana na Rio Di Janeiro. Kweli Arusha inapendeza
Picha hii hapa makazi mapya ya kisasa MoromboBila kapicha ni sawa na kumfyatua mwanamke kwenye giza totoro
We!.hunielewi kwangu mimi kiingereza ni lugha km lugha nyingine, nimeshangazwa na hyo mdau kuona kiingereza big deal mpaka anamsifia mtu eti anaongea fluent!.....wakati ukweli ni kuwa kuna vitoto vipo darasa la kwanza na vinaongea fluent. Nenda kenya hadi machokoraa wanaiongea hyo lugha vizuri kbsa!!.ndyo nikamuuliza whats the big deal?Ni sifa iliyotokana na maandishi yako.
Sasa wewe unaona kiingereza kusifiwa ni mental disorder unashindwa kun'gamua kiingereza ni lugha yenye umuhimu mkubwa saana.
-Hauoni kwenye shule zetu tumejaza wakenya na waganda unafikiri tu wajinga.
-Kuanzia sekondari tunakisoma unafikiri tu wajinga eti! hata hao wachina unaowataja nao wanakisoma.
Kumbe Bill Clinton ndie aliesema maneno ambayo kimsingi hayana uhalisia, arusha haina airport ya kutua Boeing ya magufuli, arusha gharama ya maisha iko juu kwa sababu ya uwepo wa maeneo mengi ya kitalii.
.
Angesema arusha the goma of africa hapo sawa
Yaani leo nimekuwa proud na nchi yangu at least kwa siku moja wamesahau ya Albino, kikombe cha babu na MO wamekuja na hii documentary ya East Africa. Imagine mtu anagundua mpaka toroli la kumwagilia mbolea shambani yeye anachofanya ni kujaza tu halafu kazi inakwenda. I was so impressed. Halafu wanavyojieleza sasa, nikawalinganisha na wapwa wangu wapo Uni za Dsm na Udom we ni majanga. Natamani nikipata nafasi siku moja niende kuwatembelea au waanzishe vitengo hata Dar. Nipo tayari kuwapa hata ofisi kwangu. Sipataji.Nadhani una wivu tu.
Hiyo ni sifa ya nyongeza.... Kwanini usimsifie Mtanzania mwenzako kamaanaweza kutengeneza kitu na akakielezea kwa lugha ya kimataifa?
Aim Mall, Njiro Complex, Sable Square, TFA ComplexGeneva gan haina hata known Shopping Mall.
Basi kama ni hivyo Serikali yako ina mental disorder kuruhusu masomo yote yafundishwe kwa kingereza isipokuwa somo moja tu la kiswahili...We ni mgonjwa unahitaji tiba haraka sana...mental disorder ya kuona lugha ya mzungu km lugha ya malaika inakusumbua
Kiingereza sio lugha kama zilivyo lugha zingine ina upekee wake.We!.hunielewi kwangu mimi kiingereza ni lugha km lugha nyingine, nimeshangazwa na hyo mdau kuona kiingereza big deal mpaka anamsifia mtu eti anaongea fluent!.....wakati ukweli ni kuwa kuna vitoto vipo darasa la kwanza na vinaongea fluent. Nenda kenya hadi machokoraa wanaiongea hyo lugha vizuri kbsa!!.ndyo nikamuuliza whats the big deal?
Ni mambo mazuri saana na ya kujivunia.. niliiona pia.Yaani leo nimekuwa proud na nchi yangu at least kwa siku moja wamesahau ya Albino, kikombe cha babu na MO wamekuja na hii documentary ya East Africa. Imagine mtu anagundua mpaka toroli la kumwagilia mbolea shambani yeye anachofanya ni kujaza tu halafu kazi inakwenda. I was so impressed. Halafu wanavyojieleza sasa, nikawalinganisha na wapwa wangu wapo Uni za Dsm na Udom we ni majanga. Natamani nikipata nafasi siku moja niende kuwatembelea au waanzishe vitengo hata Dar. Nipo tayari kuwapa hata ofisi kwangu. Sipataji.
Hebu naomba link haya ya youtube nikaangalieNi mambo mazuri saana na ya kujivunia.. niliiona pia.
Mtu kama anauwezo wa kutengeneza vitu kama vile hata serikali isipomwinua mashirika makubwa ya kimataifa yanamwona na ni rahisi kuvutwa mkono... Nilipenda saana.
Nadhani watu kama wale wa German what nimesahau walikuwa wanasaidia vikundi au watu kama hawa. SNV walianza kujikita kwenye vikundi am not sure now sababu ni muda mrefu nimekuwa detached na mashirika ya misaada.Ni mambo mazuri saana na ya kujivunia.. niliiona pia.
Mtu kama anauwezo wa kutengeneza vitu kama vile hata serikali isipomwinua mashirika makubwa ya kimataifa yanamwona na ni rahisi kuvutwa mkono... Nilipenda saana.
Tuliangalia leo kwenye Bussiness news ya BBC. Inategemea ulipo ni muda gani. Mimi ilikuwa saa 4 asubuhi sijui Daby alikuwa muda gani tunaishi kwa tofauti ya masaa.Hebu naomba link haya ya youtube nikaangalie
ππππ KIA???Kwani KIA iko wapi? Uwanja wa Kisongo upo wapi? mahoteli, spa, laundry, pools
Huwezi kuifananisha na chato