Maendeleo ya haraka ya jiji la Arusha a.k.a Geneva ya Afrika ni mfano wakuigwa

My concern ni kuwa kwanini mnaiona ni big deal wakati ni lugha km zilivyo nyingine unaweza jifunza na kuizungumza kwa ufasaha baada ya muda mfupi tu!!!? Maana kwa jinsi mnavyoizungumzia utadhani kuwa kuijua ni lazima uwe na akili sana za kiwango cha dunia!!! Ndyo maana nikauliza, "whats the big deal"
 

Msingi mkuu wa lugha ni mawasiliano. Huu ndiyo msingi mkuu wa lugha.

Lakini mawasiliano ni neno pana. Mawasiliano gani? Lugha zinatofautiana kwenye mawasiliano. Kuna lugha zinatumiwa na watu wengi(mawasiliano yake ni mapana) duniani. Kuna lugha zinatumika sehemu nyingi duniani.

Usichanganye hapo. Kichina kinatumiwa na watu wengi Duniani ila English ni lugha inayotumika sehemu nyingi duniani. Hivyo unapowasiliana kwa Kiingereza ujumbe wako utaenda sehemu nyingi duniani.

Kutokana na hili jambo limekifanya kiingereza kuwa ndiyo lugha kuu katika mambo mengi kama elimu, biashara, Tecknoloy, n.k. yote haya yamekifanya kiingereza kiwe big deal.
 
Lete picha ya barabara kama hizi nje ya Dar ...
 
S
Achana na hicho kipande yaani hiyo lami yenyewe ukipanda juu kidogo kama kilometer moja unakuta vumbi
ALAFU SIJUI KINACHOONGELEWA HAPA NA HAWA VIJANA NI NINI..!!

HAYA YOTE HAPA STANDA TU, IN SHORT HAMNA KITU KIPYA.
 
Mimi nilikuwa kwenye gari pale ofisi za fastjet naenda KIA nilishuhudia machinga akimshawishi mzungu kununua bidhaa zake kwa kiingereza kilichonyooka hadi mzungu akaingia kingi! Ingekuwa machinga wa Dar asingejiangaisha hata kumsogelea ...
 
Mshamba ww, hv bongo h kuna shopping mall kubwa wap tena mbali na Mliman City na Rock City Mall,, huto ulitonitajia natufahamu vzr ki arusha n tu mall lkn kwa wajuvi ni tu supermarket.. tembea kijana
 
Sakina Mall under construction., five star Sabasaba Hotel by inakaribia kuisha, Arusha kuna sehem lukuki za kuenjoy kama unapesa.
 
Hiyo barabara ni shida na bado hawajaweka ukoka wakiweka patakuwa balaa tupu. Sema hii ya mianzini kupanda juu ndo kama sijaelewa maana wamepiga lami kipande kidogo tu alafu wakaacha
na nimesikia mwenge ndo ulizindua.
mkuu hiyo imekaa vibaya sana, ni hatua 100 kutoka main road na traffic lights, wanadai eti ni mpaka wa Arusha Dc na Munispaa, so hicho kipande cha lami kiko Wilaya nyingine
 
We ni mgonjwa unahitaji tiba haraka sana...mental disorder ya kuona lugha ya mzungu km lugha ya malaika inakusumbua


".....mental disorder" ni kiswahili au kikwenu?
 


Mkuu vipi? Mbona kiswaenglish?
 
Yaan Ukiitoa Dar, Walau kidogo hata wasukuma jiji lao size, population, modern mall, beaches. Arusha Kamejibana Kama kakiichuguu Kahalmashaur Kamoja duu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…