FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
AlhamduliLlah safi.Habari yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AlhamduliLlah safi.Habari yako
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]MUHAMMAD ALISEMA WAISLAMU WATAGANYIKA MADHEHEBU 73 NA WOTE 73 WATAKUWA NDANI YA JEHANAMU NA MOJA LINAKWENDA PEPONI SWALI YUPI ATAINGIA PEPONI KATI YA MADHEHEBU 73?
HII NDIYO ORODHA KAMILI YA MADHEHEBU 73 YA KIISLAMU NA MSIMAMO WA KILA MMOJA
MUHAMMAD AMEKIRI KUWA ATAKWENDA JEHANAMU NA WAISLAMU WATATUPWA JAHANAMU WOTE
Imesimuliwa na Abu Huraira;
Muhammad anasema: Waislam wakamuuliza, Nabii wa Allah tutamuona Bwana wetu? Nabii akawajibu, je mna khofu ya kuona Mwezi mzima kwenye usiku usiyo na mawingu? Wakamjibu hapana. Nabii wa Allah akasema tena, je mna khofu ya kuona Jua siku ambayo haina mawingu? Wakajibu kwa kukataa. Nabii wa Allah akasema, kwenye siku ya ufufuo watu watakusanyika makundi kwa makundi. Mtamuona Allah. Waabudu Mwezi wata ufuata Mwezi. Waabudu Jua watalifuata Jua. Na wengine watafuata miungu yao. Lakini Waislam wote watabakia nyuma pamoja na mimi. Waislam wakamuuliza Nabii wa Allah, tubakie hapa mpaka tutakapo muona Bwana wetu. Ndipo Allah atakuja na kusema mimi ni Bwana wenu. Na Wakamjibu hakika wewe ni Bwana wetu. Ndipo Allah ataweka Daraja kuelekea Jehannam na Mimi Muhammad nitakuwa wa kwanza kuingia kwenye daraja na wafuasi wangu wote watanifuata. Mimi Muhammad nitakuwa wa kwanza wa Manabii kutupwa ndani ya Jehanamu Na kisha Waislam watatupwa wote jehanamu na wataakuwa wakisema Ooo Allah tuokoe, Oooh Allah tuokoe
Sahih Bukhari 12 Juzuu Ya 001, kitabu 012, Hadithi Namba 770.
رواه أبو هريرة. يقول محمد: سأله المسلمون: يا رسول الله هل نرى ربنا؟ أجاب النبي: "هل تخشى أن ترى البدر في ليلة صافية؟" أجابوه بالنفي. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: هل تخافون من رؤية الشمس في يوم لا يوجد فيه غيوم؟ فأجابوا بالكفر. قال رسول الله صلى الله عليه وسلم يوم القيامة يجتمع الناس في جماعات. سترى الله. عبّاد القمر سيتبعون القمر. سوف يتبع عبدة الشمس الشمس. وسيتبع آخرون آلهتهم. لكن كل المسلمين سيتركون معي. طلب المسلمون من نبي الله أن نبقى هنا حتى نرى ربنا. ثم يأتي الله ويقول أنا ربك. فقالوا: ((أنت ربنا)). ثم يقيم الله الجسر إلى الجحيم وأنا محمد سأكون أول من يدخل الجسر ويتبعني جميع أتباعي. أنا محمد سأكون أول الأنبياء الذين يلقون في جهنم ، وبعد ذلك سيُلقى كل المسلمين في جهنم وسيقولون اللهم احفظنا ، اللهم احفظنا. صحيح البخاري 12 المجلد 001 ، الكتاب 012 ، الحديث رقم 770.
ALLAH HATAWAOKOA WAISLAMU SIKU YA KIYAMA MAANA NA YEYE ATAKUWA NDANI YA JEHANAMU USHAHIDI HUU HAPA NA HATATOKA HUMO
KWA KISWAHILI
Mtume alisema watu watatupwa Jahanamu, naye Allah ataiuliza Jahanamu akisema, Je umejaa nayo Jahanamu itasema kwani kuna nyingine zaidi na ije tu (Quran 50:30)? Mpaka Allah atakapo ingiza mguu wake ndani ya Jehanamu nayo Jahanamu itasema inatosha! Inatosha Qat Qat.
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنْ قَتَادَةَ، عَنْ أَنَسٍ ـ رضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ " يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ. حَتَّى يَضَعَ قَدَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ".
Sahih al-Bukhari 4848 Juzuu ya 6 kiasi cha 60, Hadithi 371
MWISHO WA SOMO
YESU KRISTO NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA WA MILELE NA NDIYO MAANA QUR'AN YENU IMETHIBITISHA WAKRISTO WANAPATA UZIMA WA MILELE
Yohana 14:6“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6“Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mim
Hawezi kutenga usabato na Ukristo,hapo kachemsha,,,unajiita mkristo huku anashindwa kuilinda Imani yake.....(nilivyokuwa Sunday school mwalimu alituambia atakuja mpinga kristo siku moja na panga atakuuliza unachagua Ukristo au unaukana,?teacher akasisitiza,ukiukana moja kwa moja motoniiii,,,,we nilisema sitaikana Imani yangu,niliogopaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣) Sasa huyu kijana anaonekana ni mwepesi Sana kwenye Imani.Kama me nimemsoma vizuri na kumwelewa hapo anadhalilisha Madhehebu mengine na si usabato anaouamini!
AlhamduliLlah safi.
Wewe ndio u prove kwa kutuonyesha thamani ya Mwanamke katika uislamu....Unataka kubisha jambo liko uchi kabisaProve it, wapi mwanamke hajathaminiwa kwenye Uislam? Dini ipi mwanamke ilimpa usawa na Mwanaume? Huwa mnatumia akili kweli kujenga hizi hoja?
Hizo zote politics...Kuna mashambulizi ya Charlie Hebdo, Saman Rushdie, London bombings 2005, Madrid bombings 2004 n.k
Reforms ni muhimu katika dini.
Hawezi kukujibu hili,maana kaandika kwa mihemuko yake binafsi,akikujibu nitagKatika Point zote ulizoandika hapo juu ni Mambo ya Kibinadamu (Maamuzi / tamaduni za Jamii husika ) ,
Usichanganye Lifestyle ya Watu (Mtu husika ) na Biblia .
Ili tukubaliane na wewe tupe vifungu vinavyohusu (Eleza )
1. Usafi na Stara kwa Mwanamke
2. Mgawanyo wa Mali
3. Heshima ya Mwanamke kwa Mwanaume
4. Mazishi
5. Mahali
Ili tuendeleee na Tukuabaliane na Wewe , Toa Vifungu !!!!!
ANGALIZO , Usichanganye
Tamaduni (Maisha ) ya Watu na Biblia .
KALIBU , Taikoni
Hili jibu ni jepesi Sana....jibu Kama ulivyoulizwaBiblia inasheria za Mungu (Yahweh) na Mapokeo ya wazee(Mila na desturi za kiyahudi)
Hapa tunazungumzia Ukristo ambao haufuati Biblia Kwa 💯 Jambo ambalo linaufanya upigwe gap na uislam (licha yakuwa uislam ume-copy vitu kwenye Uyahudi).
Le Mutuz ulichangia ngapi?Tena kwenye kuzika wenzetu hawarembi kabisa
Wakristo mtu akifa sijui itatengenezwa badget ya mamilion,watu sijui mchange blahblah kibao
Ova
GoodTatizo wabongo uelewa bado mdogo sana.
Wakristo hawana Muongozo wa mahari,mazishi,talaka nk.
Hivyo hapo wanafuata mila zao kulingana na jamii husika.
Sasa mtu akifuata mila zake kwanini tena unaulaumu ukristo badala ya kulaumu mila zake??
Mkristo akiamua kutozika bali kuchoma maiti kulingana na mila zake bado hakatazwi.
Kwahyo kwenye maswala ya mazishi,talaka,mahari msiufananishe uislam na ukristo...fananisheni uislam(tamaduni za waarabu) na tamaduni za kimila za kitanzania.
Mnajishughulisha sana na maswala ya kidunia ya kimwili wakati ukristo umebase kwenye maswala ya kiroho
So hapo legend umemaanisha hivi "hayo yote yanayotendeka hayana uhusiano na Imani,ni Mila na desturi walizojipangia raia"Mimi ni mkristo tena mkorinto(msabato) na nakubaliana na hoja yako kwa asilimia kubwa tu.
Japo dini zote ni mapokeo ya kikoloni, yaliyoelekeza watu waishi kama jamii za watu fulani, lakini sie wagalatia hawa jamaa zetu tumewafata hadi kupitiliza, sidhani kama wazungu wana complications nyingi namna hii. Mbona harusi/sherehe za wazunhu ni simple tu, mbona mazishi yao ni so private, mbona wao hawana mahari kwa asilimia kubwa tu, mbona wana ustaarabu mkubwa(mind your own business) etc.
Surat Al-NisaaWewe ndio u prove kwa kutuonyesha thamani ya Mwanamke katika uislamu....Unataka kubisha jambo liko uchi kabisa
Nakushauri tumia Google kidogo, uliza tu, nani aliyeanzisha, weka jina la kikundi katika ylivyovitaja, utapata jibu.Hii imeleta shida kubwa sana, ndio chanzo cha itikadi kali na kuibuka kwa Alshabab, Al Qaeda, Boko Haram n.k. Reforms ni muhimu katika dini.
Ukiona mtu anatoa credit kwa hoja mfu, ujue na yeye ni mfu.
Muislamu nduguye muislamu sheikh. Hapo ujue cha mtume kimeiva tayari.Kuhusu ujirani, Uislamu umetoa mwongo huu unapotaka kujenga nyumba.
Uombe ruhusa na umweleze jirani Yako huo mjengo utakuaje ukikamilika.
Huyo jirani awe na dini au la,akikataa usijenge.
Nadhani umenielewa vizuri legend. Since ukristo haujaainisha mambo mengi kiuwazi(ndoa, misiba, mahari) sisi wagalatia tumefata mila na taratibu zetu binafsi.So hapo legend umemaanisha hivi "hayo yote yanayotendeka hayana uhusiano na Imani,ni Mila na desturi walizojipangia raia"
Mbona mimi sina chuki na madhehebu mengine J, ni vile mtu anaichukulia tu imani yake nadhani. Mafundisho mengi hasa ya vitabu wanavyoita roho ya unabii yanahitaji utulivu wa nafsi na imani thabiti ili kuyaelewa, ila binafsi yangu nachukua lililo jema toka kwa yoyote muhimu tu lisinipeleke nje ya kile ninachoamini.Hii ni tatizo la wasabato kuonaga Kama wakristo wengine sio wakristo...Binafsi nilikuwa Napenda kusikiliza mafundisho yao lakini nilianza kuona nyuzi za wasabato humu ni kukandia madhehebu mengine,nilisema niangalie Hope chanel yao ni kukandia tu,nisome vitabu vyao Kuna yule Ellen G.White ni kukandia tu,hasa bifu lao kuu ni Catholic,na protestants hapo ndio siku hizi wamenifanya niwaone kumbe Hawa watu sio,yaani wako radhi wautukuze uislamu na kuudunisha Ukristo hiyo yote Sababu tu ya kuchukia tu madhehebu mengine. Maana kwa akili ya kawaida huwezi kumsifu mke wa jirani yako huku ukimponda mkeo wa ndani....angalia Kama Kuna muislam hata mmoja anaweza simama kuusifia Ukristo,never never never......Kweli dhambi ya ubaguzi ni mbaya san