Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wagalatia bwana hamkosi sababu hahahaWengi wa waislamu ni wanafiki sana hasa Kwa wakristo,ni wamejaa zuluma sana hawana upendo,wavivu na watapeli ,waanaamini kumdhulumu mtu wa imani nyingine kwao siyo dhambi,hawataki kuwajibika hata Kwa watoto wanaowazaa ndiyo maana hukimbilia talaka,ulozi na ugannga ugannga ndio kitu pekee wanaweza kuongoza
Vp umekunywa supu ya nguruwe?Huna hoja unaamua kuporomoka ujinga wako humu kiholela ukizani wote huku ni punguani kama wewe! Unataka kuleta uchochezi na machafuko ya kidini mavi yako Burukenge wewe
😄😄😄😄 Duh! We jamaa umeniacha hoi...bandari!!😩MTU akifa Ukristoni inakuwa sakata kama la Bandari. Sio mchezo.
Ni wivu tu. Jamaa kachambua vizuri. Acha chuki. Nawe unaweza kuongelea mazuri ya upande mwingineHii hoja imejengwa kwa msingi wa hovyo sana, generalization syndrome.
1. Mahali.
Hii haijawahi kua ishu ya dini hata siku moja. Hakuna sehemu kwenye ukristo unapotaka watu kutoa mahali ama unapolazimisha mahali iwe nyingi. Jamii yangu ukiristo umeukita mahali ni ya maana. Mama yangu aliolewa na ng'ombe 100 mwaka 1958, hakukua na ukristo. Bibi aliolewa na ng'ombe 170 mwaka 1938. Hata sasa ukitaka kuoa kwenye jamii yangu lazima uwe na mali ya kutosha. Dada zangu wameolewa miaka ya 80 na 90ukristo upo kidogo sana ila zimekuja home ng'ombe si chini ya 40 kwa kila mwanamke. So mahali has nothing to do with Christianity.
2. Mazishi.
Naposema hii hoja imejengwa kwa msingi wa generalization ama jumla jumla hii ndio maana yake. Jumla jumla ni hoja zinajengwa na watu ambao hawakwenda shule, wajinga. Mazishi has nothing to do with Christianity. Kwa mfano, wajaluo kwao mazishi ni sherehe kubwa, inaweza kufanyika hata mwezi mzima watu wakisherehekea ndugu yao kufariki, huu ni utamaduni wao na ukristo umewakuta hivyo na wala hawajawahi kuacha. Tamaduni nyingi watu hufanya sherehe kumuaga ndugu yao, hii haihusiani na ukristo kabisa. Mtu mjinga anaanzisha mada anajumuisha mambo yote ya utamaduni na ukristo.
Pili, kuna haja gani ndugu yenu kufa mkaharakisha kumzika, kama mtu ambae hakua na thamani. Kufa kwa mtu hakuondoi thamani yake ama umuhimu wake kwa watu wake, bado ataendelea kua ndugu yenu hata kama amekufa. Haraka ya kumzika ili iweje, aende kwa mungu? Huyo mungu yupo? Umewahi kumuona?. Stori za alinacha haziwezi kusababisha ndugu yenu mkamkosea heshima kisa kafa.
3. Usafi na staraha
Kwamba wanawake wa kiislamu wote ni wasafi na wanawake wa kikristo wote ni wachafu, wananuka, hawajifanyii usafi. Sasa kama ishu ni dini, mbona hujaongelea wanaume wa kikristo, ama wao ni wasafi ila wanawake wao ndio wachafu, sio? Hizi mada hua mnaziandika kwa kutumia masaburi ama kitu gani?
Halafu stara, hii maana yake nini? Ile kufunika nguo mwili mzima ndio stara? Kwamba wanawake wa kikristo hawana stara ila wa kiislamu ndio wenye stara na heshima sio? Anyway, a typical example of generalization. Poor reasoned topic.
4. Hoja ya hovyo haina maana yoyote. Ni unyanyasaji wa kijinsia kutaka kutumia dini zilizoandikwa na wanaume kwa kujipendelea kutaka kunyanyasa wanawake, hakuna maana yoyote.
5. Talaka, haina maana yoyote.
Mwisho.
Tukiwa tunaandika jambo tujitahidi kutumia akili zaidi, kufanya utafiti, kukusanya maarifa zaidi, tusitumie hisia zaidi.
Kama unaona haya ndo mabao nenda kasilimishwe uone cha moto. Mambo yote uliyozingatia si muhimu sana kwa binadamu isipokuwa kwa waarabu wabaguzi wa kunuka
sijaiona suala la mizigo 40 baada ya kufa hapo unanikatisha tamaa
Ila pamoja na wanawake wakiislaam kuonekana kama wanamtii mume ndio wanaongoza kwa umalaya. Kama kuna wanawake rahisi kulala nao ni wa kiislam tena walioko kwenye ndoa ndio balaa wanaishi na waume zao kinafki Sana. Mara nyingi ule utiii una unafki.
Hii hoja imejengwa kwa msingi wa hovyo sana, generalization syndrome.
1. Mahali.
Hii haijawahi kua ishu ya dini hata siku moja. Hakuna sehemu kwenye ukristo unapotaka watu kutoa mahali ama unapolazimisha mahali iwe nyingi. Jamii yangu ukiristo umeukita mahali ni ya maana. Mama yangu aliolewa na ng'ombe 100 mwaka 1958, hakukua na ukristo. Bibi aliolewa na ng'ombe 170 mwaka 1938. Hata sasa ukitaka kuoa kwenye jamii yangu lazima uwe na mali ya kutosha. Dada zangu wameolewa miaka ya 80 na 90ukristo upo kidogo sana ila zimekuja home ng'ombe si chini ya 40 kwa kila mwanamke. So mahali has nothing to do with Christianity.
2. Mazishi.
Naposema hii hoja imejengwa kwa msingi wa generalization ama jumla jumla hii ndio maana yake. Jumla jumla ni hoja zinajengwa na watu ambao hawakwenda shule, wajinga. Mazishi has nothing to do with Christianity. Kwa mfano, wajaluo kwao mazishi ni sherehe kubwa, inaweza kufanyika hata mwezi mzima watu wakisherehekea ndugu yao kufariki, huu ni utamaduni wao na ukristo umewakuta hivyo na wala hawajawahi kuacha. Tamaduni nyingi watu hufanya sherehe kumuaga ndugu yao, hii haihusiani na ukristo kabisa. Mtu mjinga anaanzisha mada anajumuisha mambo yote ya utamaduni na ukristo.
Pili, kuna haja gani ndugu yenu kufa mkaharakisha kumzika, kama mtu ambae hakua na thamani. Kufa kwa mtu hakuondoi thamani yake ama umuhimu wake kwa watu wake, bado ataendelea kua ndugu yenu hata kama amekufa. Haraka ya kumzika ili iweje, aende kwa mungu? Huyo mungu yupo? Umewahi kumuona?. Stori za alinacha haziwezi kusababisha ndugu yenu mkamkosea heshima kisa kafa.
3. Usafi na staraha
Kwamba wanawake wa kiislamu wote ni wasafi na wanawake wa kikristo wote ni wachafu, wananuka, hawajifanyii usafi. Sasa kama ishu ni dini, mbona hujaongelea wanaume wa kikristo, ama wao ni wasafi ila wanawake wao ndio wachafu, sio? Hizi mada hua mnaziandika kwa kutumia masaburi ama kitu gani?
Halafu stara, hii maana yake nini? Ile kufunika nguo mwili mzima ndio stara? Kwamba wanawake wa kikristo hawana stara ila wa kiislamu ndio wenye stara na heshima sio? Anyway, a typical example of generalization. Poor reasoned topic.
4. Hoja ya hovyo haina maana yoyote. Ni unyanyasaji wa kijinsia kutaka kutumia dini zilizoandikwa na wanaume kwa kujipendelea kutaka kunyanyasa wanawake, hakuna maana yoyote.
5. Talaka, haina maana yoyote.
Mwisho.
Tukiwa tunaandika jambo tujitahidi kutumia akili zaidi, kufanya utafiti, kukusanya maarifa zaidi, tusitumie hisia zaidi.
Je waarabu walichowafanyia Yanga ni uungwana? na wale jamaa ni waislam watupu. Mi nadhani kuna masuala mengine hawafanyi vema.hasa waarabu
😄😄😄😄 Duh! We jamaa umeniacha hoi...bandari!!😩
'lakum diinikum wa liya diiniy'
Hili jibu ni jepesi Sana....jibu Kama ulivyoulizwa
Ata jirekebisha tu uyu siku akili zkimrudiHawezi kutenga usabato na Ukristo,hapo kachemsha,,,unajiita mkristo huku anashindwa kuilinda Imani yake.....(nilivyokuwa Sunday school mwalimu alituambia atakuja mpinga kristo siku moja na panga atakuuliza unachagua Ukristo au unaukana,?teacher akasisitiza,ukiukana moja kwa moja motoniiii,,,,we nilisema sitaikana Imani yangu,niliogopaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣) Sasa huyu kijana anaonekana ni mwepesi Sana kwenye Imani.
Ni kweli
In short wanafanya ambayo hatukuagizwa na BWANA wetu, Pendaneni Kama Mimi nilivowapendaHii ni tatizo la wasabato kuonaga Kama wakristo wengine sio wakristo...Binafsi nilikuwa Napenda kusikiliza mafundisho yao lakini nilianza kuona nyuzi za wasabato humu ni kukandia madhehebu mengine,nilisema niangalie Hope chanel yao ni kukandia tu,nisome vitabu vyao Kuna yule Ellen G.White ni kukandia tu,hasa bifu lao kuu ni Catholic,na protestants hapo ndio siku hizi wamenifanya niwaone kumbe Hawa watu sio,yaani wako radhi wautukuze uislamu na kuudunisha Ukristo hiyo yote Sababu tu ya kuchukia tu madhehebu mengine. Maana kwa akili ya kawaida huwezi kumsifu mke wa jirani yako huku ukimponda mkeo wa ndani....angalia Kama Kuna muislam hata mmoja anaweza simama kuusifia Ukristo,never never never......Kweli dhambi ya ubaguzi ni mbaya san