Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kama me nimemsoma vizuri na kumwelewa hapo anadhalilisha Madhehebu mengine na si usabato anaouamini!
Hawezi kutenga usabato na Ukristo,hapo kachemsha,,,unajiita mkristo huku anashindwa kuilinda Imani yake.....(nilivyokuwa Sunday school mwalimu alituambia atakuja mpinga kristo siku moja na panga atakuuliza unachagua Ukristo au unaukana,?teacher akasisitiza,ukiukana moja kwa moja motoniiii,,,,we nilisema sitaikana Imani yangu,niliogopaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣) Sasa huyu kijana anaonekana ni mwepesi Sana kwenye Imani.
 
Hawezi kukujibu hili,maana kaandika kwa mihemuko yake binafsi,akikujibu nitag
 
Biblia inasheria za Mungu (Yahweh) na Mapokeo ya wazee(Mila na desturi za kiyahudi)
Hapa tunazungumzia Ukristo ambao haufuati Biblia Kwa 💯 Jambo ambalo linaufanya upigwe gap na uislam (licha yakuwa uislam ume-copy vitu kwenye Uyahudi).
Hili jibu ni jepesi Sana....jibu Kama ulivyoulizwa
 
Tena kwenye kuzika wenzetu hawarembi kabisa
Wakristo mtu akifa sijui itatengenezwa badget ya mamilion,watu sijui mchange blahblah kibao

Ova
Le Mutuz ulichangia ngapi?
 
Good
 
So hapo legend umemaanisha hivi "hayo yote yanayotendeka hayana uhusiano na Imani,ni Mila na desturi walizojipangia raia"
 
Wewe ndio u prove kwa kutuonyesha thamani ya Mwanamke katika uislamu....Unataka kubisha jambo liko uchi kabisa
Surat Al-Nisaa

Enyi watu! mcheni Mola wenu ambaye amewaumba kutokana na nafsi moja, na akaumba kutokana na (nafsi) hiyo wa pili wake, na akaeneza kwa wawili hao wanaume wengi na wanawake. Na mcheni Mwenyeezi Mungu ambaye mnaomba kwaye (na kuangalia) jamaa wa karibu, hakika Mwenyeezi Mungu ni Mlinzi juu yenu.
2. Na wapeni yatima mali zao, wala msibadilishe mazuri kwa mabaya, wala msile mali yao pamoja na mali yenu, hakika hiyo ni dhulma kubwa.
3. Na kama mkiogopa kwamba hamuwezi kufanya uadilifu katika mayatima, basi oweni mnaowapenda katika wanawake, wawili wawili au watatu watatu au wanne wanne. Na mkiogopa kuwa hamuwezi kufanya uadilifu basi (oeni) mmoja au waliomilikiwa na mikono yenu, hii ni karibu zaidi na kutofanya dhulma.
4. Na wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni hadiya, lakini wakikupeni chochote kwa radhi ya nafsi katika hayo, basi kileni kiwashuke kwa raha.
5. Wala msiwape wasio na akili mali yenu ambayo Mwenyeezi Mungu amewajaalia ili kuwapelekea maisha, na walisheni katika hayo na muwavishe, na muwaambie maneno mazuri.
6. Na wajaribuni yatima mpaka wafikilie (umri wa) kuoa, basi kama mkiwaona wana akili njema, wapeni mali yao, wala msiyale kwa fujo na kwa haraka kwamba watakuwa wakubwa. Na aliyekuwa tajiri, basi ajiepushe, na atakayekuwa fakiri, basi ale kwa kadiri ya ada. Na mtakapowapa mali yao, basi muwawekee mashahidi, na Mwenyeezi Mungu anatosha kuwa ni Mwenye kuwahasibu.
7. Wanaume wana fungu katika yale waliyoyaacha wazazi na jamaa waliowakaribia, na wanawake wana fungu katika yale waliyoyaacha wazazi na jamaa walio wakaribia, ikiwakidogo au kingi, (hili ni) fungu lililofaradhiwa.
8. Na watakapohudhuria wakati wa kugawanya jamaa na yatima na masikini, basi wapeni katika hayo, na waambieni maneno mazuri.
9. Na (warithi) waogope kama wangeacha nyuma yao watoto wanyonge wangewakhofia basi wamuogope Mwenyeezi Mungu na waseme maneno ya kweli.
 
Hii imeleta shida kubwa sana, ndio chanzo cha itikadi kali na kuibuka kwa Alshabab, Al Qaeda, Boko Haram n.k. Reforms ni muhimu katika dini.
Nakushauri tumia Google kidogo, uliza tu, nani aliyeanzisha, weka jina la kikundi katika ylivyovitaja, utapata jibu.


Hakuna dini au imani inayofundisha amani kama dininys Kiislam.

Mafundisho yetu ya kwanza kabisa yanatokana na Qur'an, isome, ukiandika tu kwenye google "Qur'an swahili" , utaipata tafsiri ya Qur'an kwa Kiswahili. Tukosoe kutokana mafundisho yetu, usifikirie tu kichwani mwako au ukajazwa ujinga na wenye chuki na Uislam na wewe ukakujaa ujinga wa chuki, ukadhani ndiyo ukweli.



Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
 
So hapo legend umemaanisha hivi "hayo yote yanayotendeka hayana uhusiano na Imani,ni Mila na desturi walizojipangia raia"
Nadhani umenielewa vizuri legend. Since ukristo haujaainisha mambo mengi kiuwazi(ndoa, misiba, mahari) sisi wagalatia tumefata mila na taratibu zetu binafsi.

BTW I also love Christianity ❤️..
 
Mbona mimi sina chuki na madhehebu mengine J, ni vile mtu anaichukulia tu imani yake nadhani. Mafundisho mengi hasa ya vitabu wanavyoita roho ya unabii yanahitaji utulivu wa nafsi na imani thabiti ili kuyaelewa, ila binafsi yangu nachukua lililo jema toka kwa yoyote muhimu tu lisinipeleke nje ya kile ninachoamini.
Tunalihubiri neno, sio zaidi. Ukimuona mtu anazungumzia madhehebu wewe mpuuze tu.
BTW mimi sio conservative, nina maswali magumu sana ambayo huwa nikiuliza watu hata kanisani wanaishia kusema nitakufuru. Dini hazitaki tuwe critical.

Hivyo wewe endelea tu kuangalia Hope channel TZ, sikiliza mafundisho mazuri ya afya(we do well kwenye mafundsho haya), mafundisho ya familia na ndoa na injili ya Yesu Kristo. Mengine wala usiyape nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…