Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Wagalatia bwana hamkosi sababu hahaha
 
Je waarabu walichowafanyia Yanga ni uungwana? na wale jamaa ni waislam watupu. Mi nadhani kuna masuala mengine hawafanyi vema.hasa waarabu
 
Hii hoja imejengwa kwa msingi wa hovyo sana, generalization syndrome.

1. Mahali.
Hii haijawahi kua ishu ya dini hata siku moja. Hakuna sehemu kwenye ukristo unapotaka watu kutoa mahali ama unapolazimisha mahali iwe nyingi. Jamii yangu ukiristo umeukita mahali ni ya maana. Mama yangu aliolewa na ng'ombe 100 mwaka 1958, hakukua na ukristo. Bibi aliolewa na ng'ombe 170 mwaka 1938. Hata sasa ukitaka kuoa kwenye jamii yangu lazima uwe na mali ya kutosha. Dada zangu wameolewa miaka ya 80 na 90ukristo upo kidogo sana ila zimekuja home ng'ombe si chini ya 40 kwa kila mwanamke. So mahali has nothing to do with Christianity.

2. Mazishi.
Naposema hii hoja imejengwa kwa msingi wa generalization ama jumla jumla hii ndio maana yake. Jumla jumla ni hoja zinajengwa na watu ambao hawakwenda shule, wajinga. Mazishi has nothing to do with Christianity. Kwa mfano, wajaluo kwao mazishi ni sherehe kubwa, inaweza kufanyika hata mwezi mzima watu wakisherehekea ndugu yao kufariki, huu ni utamaduni wao na ukristo umewakuta hivyo na wala hawajawahi kuacha. Tamaduni nyingi watu hufanya sherehe kumuaga ndugu yao, hii haihusiani na ukristo kabisa. Mtu mjinga anaanzisha mada anajumuisha mambo yote ya utamaduni na ukristo.

Pili, kuna haja gani ndugu yenu kufa mkaharakisha kumzika, kama mtu ambae hakua na thamani. Kufa kwa mtu hakuondoi thamani yake ama umuhimu wake kwa watu wake, bado ataendelea kua ndugu yenu hata kama amekufa. Haraka ya kumzika ili iweje, aende kwa mungu? Huyo mungu yupo? Umewahi kumuona?. Stori za alinacha haziwezi kusababisha ndugu yenu mkamkosea heshima kisa kafa.

3. Usafi na staraha
Kwamba wanawake wa kiislamu wote ni wasafi na wanawake wa kikristo wote ni wachafu, wananuka, hawajifanyii usafi. Sasa kama ishu ni dini, mbona hujaongelea wanaume wa kikristo, ama wao ni wasafi ila wanawake wao ndio wachafu, sio? Hizi mada hua mnaziandika kwa kutumia masaburi ama kitu gani?

Halafu stara, hii maana yake nini? Ile kufunika nguo mwili mzima ndio stara? Kwamba wanawake wa kikristo hawana stara ila wa kiislamu ndio wenye stara na heshima sio? Anyway, a typical example of generalization. Poor reasoned topic.

4. Hoja ya hovyo haina maana yoyote. Ni unyanyasaji wa kijinsia kutaka kutumia dini zilizoandikwa na wanaume kwa kujipendelea kutaka kunyanyasa wanawake, hakuna maana yoyote.

5. Talaka, haina maana yoyote.

Mwisho.
Tukiwa tunaandika jambo tujitahidi kutumia akili zaidi, kufanya utafiti, kukusanya maarifa zaidi, tusitumie hisia zaidi.
 
Ni wivu tu. Jamaa kachambua vizuri. Acha chuki. Nawe unaweza kuongelea mazuri ya upande mwingine
 
Ila pamoja na wanawake wakiislaam kuonekana kama wanamtii mume ndio wanaongoza kwa umalaya. Kama kuna wanawake rahisi kulala nao ni wa kiislam tena walioko kwenye ndoa ndio balaa wanaishi na waume zao kinafki Sana. Mara nyingi ule utiii una unafki.
 
Kama unaona haya ndo mabao nenda kasilimishwe uone cha moto. Mambo yote uliyozingatia si muhimu sana kwa binadamu isipokuwa kwa waarabu wabaguzi wa kunuka

😀😀
Mkuu Acha Hasira.
Mimi ni Mtibeli nafuata mambo Mema yote yaliyopo na yaliyoagizwa bila kujali yapo katika dini ipi.
Karibu kwenye utibeli
 
Ila pamoja na wanawake wakiislaam kuonekana kama wanamtii mume ndio wanaongoza kwa umalaya. Kama kuna wanawake rahisi kulala nao ni wa kiislam tena walioko kwenye ndoa ndio balaa wanaishi na waume zao kinafki Sana. Mara nyingi ule utiii una unafki.

Waislam huwajui Mkuu.
Tuulize Sisi
 

Ukristo umeacha Maeneo muhimu kuamuliwa na upagani na ukafiri.
Ikiwemo hapo kwenye Mahari, mirathi, n.k
 
Je waarabu walichowafanyia Yanga ni uungwana? na wale jamaa ni waislam watupu. Mi nadhani kuna masuala mengine hawafanyi vema.hasa waarabu

😊😊
Ile ni mchezo tuu.
Tofautisha mchezo na Imani Mkuu.
Ni kama Vita, kila Jambo linakanuni zake
 
Ata jirekebisha tu uyu siku akili zkimrudi
 
In short wanafanya ambayo hatukuagizwa na BWANA wetu, Pendaneni Kama Mimi nilivowapenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…