Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Punguza makasiliko utakuja kunishukuru
 
Uzima wa milele ni kumjua Mungu wa kweli na wajumbe wake,
Swali litakuja, wajumbe wake ni kina Nani?
MTU yeyote Mwema, atakayekupa habari njema na ya Haki ujue huyo ni mjumbe wa Mungu.
Nilchoandika kipo kwenye maandiko lakini wewe umetumia mtazamo wako!
 
Mimi ni Anglican pure,napenda kujifunza Injili na mafundisho tofauti toka kwa wapentecoste na waadventista,na Kuna mazuri niliyojifunza lakini huwa nakwazika Sana Kwa baadhi ya wafuasi wao kujiona ni watakatifu na kudharau madhehebu mengine,kwa kweli not gud at all... Thanx anyway nimependa ushauri wako nitaufuata.
 
Heri wewe usiyefungamana popote....Mimi ni mkristo,nitaishi na kujivunia Imani niliyoichagua,na itakuwa Bora siku zote....Aisee Nina vingi vya kuipenda Imani yangu
Mhhh unatembea na janaba
 
Mbona kama sijaelewa hoja yako!
"Mahali" gani unapopazungumzia mkuu!?
 
Nilidhani nazungumza na Mkristo mwenzangu,kumbe nazungumza na mtibeli, Ndio maana lugha zetu hazifanani..Binafsi Nina chapa ya msalaba mwilini mpaka rohoni
mwangu, ,sitaionea aibu na nitakuwa balozi wa Kristo siku zote,nitaishi Imani,nitailinda Imani,siwezi kuruka ruka Mara hapa Mara pale no way!we endelea tu na huo utibeli wako
 
Tena kwenye kuzika wenzetu hawarembi kabisa
Wakristo mtu akifa sijui itatengenezwa badget ya mamilion,watu sijui mchange blahblah kibao

Ova
Hata ukiwa wa moto wao wanakuzika, Wakristo lazima wasubili maiti apoe.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kilo moja au mbili za unga wangano tayari sherehe ya harusi .

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo thamani ya Mwanamke ndio imeonyeshwa hapa au Sio?
Hivi unafahamu Kama yatima ni binadamu aliye chini ya miaka 18?Sasa Mbona mnaambiwa muoe watoto wawili wawili,watatu watatu au wanne wanne?
Je nikiita huu ni unyanyasaji wa kijinsia nitakuwa nimekosea kweli?
 
Naikumbuka sana hii

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Nenda zako nyie bwana wapare wengi waislam na wasabato. Utakua msabato au muislam tu lazima unasifia ndugu zako ktk imani.
 
Shangaa hata wewe hao wote viongozi sijui hawahutubii, wakati na walinzi wao wapo wanaume., kwanza kwenye ndoa wala hata sitamani, huo usafi mmm aseme baadhi ya sehemu nenda kusini huko utajionea mabinti

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…