Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Sasa hapo anaewafuata wenzake ni nani?? Maana wakristo hamuwafati wazungu kwenye hizo mahari talaka mazishi nk. Mnafata mila za mababu zenu.
Waislam wanafuata mila za waarabu kwa 100%

Kwann tena usema nyie wagalatia ndo mnafuata sana wazungu? Help me understand
 
Mnyonge mnyongeni, nataka nioe kabinti ka kiislamu nasikia wako vizuri ktk malezi ya watoto
 
Soma tena uelewe hoja yangu, nimesema mbona hata kama tunawafata wazungu sisi "tumepitiliza"!
 
Tatizo mna uwezo mdogo wa kujadili mambo mnakimbilia kashfa,hayo matatizo ya akili umetumia kipimo gani kuyabainisha,....acheni kunyanyasa yatima
Yatima kwa mujibu wa Quran, ni mtu aliyefiwa na wazazi? Kwa maana hata wewe ukifiwa na wazazi utaitwa Yatima. Kuna ambaye sio mtoto Dunia hii? Wewe ni mtoto kwa wazazi wako, hivyo wakifariki wewe ni Yatima.
Afu kipimo cha utoto nani amekuambia ni chini ya Miaka 18?
Unajua kuwa utu uzima ni Kubalehe?
Mnajitoa akili kisa utandawazi wakati bibi zenu waliolewa na miaka 12 huko Vijijini.
 
labda sikukufafanulia vizuri, nilisposema mama, nilimaanisha "MKE". linganisha mgao anaopata mjane wa kiislam (1/4) na mgao anaopata mjane wa kikristo (1/2). vinalingana?
Ukristo wameeleza wapi MKE apate mali 1/2?
Uislam umeweka taratibu kwa usahihi kabisa.
Kama Mke ana watoto basi atapata 1/8 ya mali zote. Hii ni kwa sababu, bado atapata huduma kutoka kwa watoto wake ambao watarithi mali hizo.
Kama MKE hakuwa na watoto basi atapata 1/4, kisha mali zinazobakia zitagaiwa kwa Wazazi wa Marehemu 1/6 ya Mali zote zilizobaki mara baada ya kutoa 1/4 au 1/8 ya huyo mke.

Watoto watagawana kwa mfumo wa MWANAUME ATAPATA MARA 2 YA MWANAMKE.

Hii imewekwa wazi kwa Sababu, Mwanamke atakapokuwa ameolewa then akaachika basi sheria ya Dini inamtaka kurudi kwa Kaka yake, na hapo sasa kaka yake atakuwa na jukumu la kumhudumia Dada yake huyo kwa kuwa kwenye Urithi alichukua mara 2 ya Dada yake.
 
Hata wewe the way ulivyo mwanaume Kuna wanaume wenzio wanakupiga gepu katika BAADHI ya vipengele kwenye maisha.
 
Si uhamie huko wewe!jidanganye kwamba mambo ya roho ni mtu na Mungu wake,mtu ni roho.Roho ikitoweka utabaki?ndio utaelewa kwanini Mungu wa wakristo anasisitiza tulinde roho kuliko vyote tuvilindavyo maana huko ndiko zitokako chemchem za uzima.
 
Kwa kukusaidia uislamu unaiamini tourati ya mussa na imetajwa ktk kuran
 
Yote uliyoandika hapa ni upuuzi na unapaswa kuzomewa na watoto!

Hivi ushawahi kusafiri nchi yeyote mbali ya tz kweli mkuu?

Nikujuze tu,huko ulaya na marekani hakuna watu wanajulikana kwa uchafu kama wasomali.Wasomali wanaaibisha wafrika jamani.

Watoto wa kisomali iwe summer iwe winter utawakuta na yale makamasi mazito yanachuruziko puani.

Mitaa wanayoishi wasomali kumejaa makohozi njia nzima na kila sehemu.Wanatema makohoz mpaka kwenye masink ya kuoshea vyombo.

Kipindi cha summer wanawake wa kisomali huwa wananuka sana.Sanaa.

Tuachane na wasomali labda ni wakristo.Tuongelee vijana wa kiarabu waishio nchi za ulaya na marekani.Hawa ndo kundi hatari kwenye jamii.Wengi wao hawapendi shule na huishia kuwa waalifu.

Unakuta likijana limetoka nchi ya vita arabun limepokelewa nchi kama Norway ila shukran yake ni kuua wanorway kwa risasi na kuharibu miundo mbinu ya nchi ya watu kwa makusudi.

Tuachane na hao,njoo huku buza kwa mtogole na Mbagara kwa kina Mwajuma ndala ndefu.Umesema waislam mnapendana eti?Hivi hizi taarabu za kuitana kinyago cha mpapure na hizi matarumbeta za kusutana mkiwa mmevaa vijora vyenu bila pichu ushawahi kuona wadada wa kikristo wakifanya huo ujinga?

Umesema wanawake wa kiislam wanastara wanajiheshimu?🤣Hivi ushawahi kuona mwanamke wa kikristo akavaa kijora bila pichu akakimwagia maji akalala chini mbele ya umati akaanza kucheza ile style ya Snura(sijui inaitwaje).

Mashoga wapo wa dini zote ila machoko wengi wana majina ya kiislam wanatokea Mombasa na Tanga kulikojaa waislamu.
 

Attachments

  • Screenshot_20230619-090042.jpg
    25.8 KB · Views: 6
Acha makasiriko na Wivu Mkuu
Ni kweli nawaonea wivu madada wa kiislamu wana kitu na madera yao.Watafika mbali.

Tuachane na wivu wangu.Naomba ujibu swali langu(Japo najua huna jibu la maana la kunipa).Uliwapima kwa kutumia nini?
Watu wangapi walihusika kwenye hicho kipimo chako?
Wakristo walikua wangapi na waislamu walikua wangapi?
 

Attachments

  • Screenshot_20230619-091523.jpg
    29.7 KB · Views: 7
  • Screenshot_20230619-091430.jpg
    28.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20230619-091337.jpg
    14.7 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…