Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

Sehemu moja kubwa Waislamu walipopiga bao ni kutoruhusu kitabu chao kihaririwe ama kiboreshwe. Hii inamaanisha maelekezo na miongozo yao ipo constant enzi na enzi.

Upande mwingine sasa kile kitendo cha kusema wanaboresha kitabu chao hapo ndipo hasa matatizo yalipoanzia. Imekuwa ni kama kuna dini nyingine nyingi ndani ya dini moja.

Leo hii muislam akiangukia popote pale duniani anaweza kufanya ibada yake bila kuhitaji muongozo lakini Mkristo lazima aulize kwanza dhehebu, mrengo, mmiliki n.k.

Ukichunguza hasa mafundisho mengi yaliyopo katika uislam kuhusu mfumo wa maisha ni yale yale ambayo yalikuwa katika biblia kabla kuanza kuhaririwa na 'kuboreshwa'.
 

Hii ni hoja kubwa sijui Kwa nini nimeisahau.
 
Dhulma, uchawi na kukosa upendo ni tabia ya mtu husika na sio ya dini. Kilichoongelewa ni mfumo wa kufanya baadhi ya mambo yao ambayo hayana uiano na tabia binafsi ya mtu.

Uliyoyaandika ni mambo ambayo yanaweza kuwa kwa binadamu yeyote kutokujali dini ama kabila.
 
Huo ni uongo ulio dhahili.Dini ya mitume na manabii siku Yao kuu ya ibada ni jumamosi(SABATO).Siku hiyo hakuna kufanya kazi yoyote,ni ibada tu(Kutoka 20:8-11, ISAYA 58:13,EZEKIEL 20:20,WAEBRANIA 4:9, QURAN 4:154,16:124,2:65).Yesu pia alikuwa akifuata hiyo dini(LUKA 4:16).Na waliabudu kwa namna tatu hadi nne.Kusujudu,kuanguka kifudifudi,kusimama,kupiga magoti.Zote zilikuwa zinakubalika mbele za MUNGU.Mtu hakulazimika kutumia namna moja tu.Nabii Danieli yeye alikuwa akipendelea sana kupiga magoti(DANIEL 6:10).Nyie hamna SABATO.Sasa utasema ni imani moja hiyo?Nyie mna ijumaa,ambayo hamuifanyi kama sabato.Unafunga biashara unaenda kuswali.Unamaliza unageuka kuendelea na biashara kitu ambacho ni kinyume kabisa na dini ya manabii.Manabii hawajawahi kuhalalisha,wala kula najisi iwayo yote(walawi 11 yote).Leo uislamu umeifanya najisi(ngamia) kuwa mnyama mtukufu wakati MUNGU wa manabii amekataza kabisa hata kugusa mizoga yao.Najisi haitakiwi iliwe hata katika mazingira yoyote yale,ila uislamu unaruhusu katika mazingira ya njaa.Sasa unathubutu vipi kutamba hadharani eti kina Musa Walikuwa waislamu wakati sheria za dini ya Musa zote uislamu unazipinga na kuzikanyaga!!Ili ujue dini ya Musa ni lazima uzichunguze sheria alizopewa na Mungu zifuatwe na wote wenye kujunasibu kuifuata dini aliyonayo Musa.Muhammadi ametamka tu"Musa ni muislamu".Mty yeyote anaweza kutamka tu katika kitabu chake.Hata uhindu kupitia vitabu vyao wanaweza kutamka tu.Ili tuamini ni lazima tuchunguze sheria zilizopo pande zote,zinaendana?
 
Mungu Huwa hafanyi double standards ,kurudia kitabu alishakiandika upya?tokea manabii wa agano la kale nabii mpya alikuja na kitu kipya lakini hakiondoi mambo ya kabla
Exactly.Mungu hatoi sheria mara mbili.Manabii walitumwa kusisitiza kushika sheria ile ile iliyotolewa Kwa mkono wa Musa(2wafalme 17:13).Nitoe mfano mmoja tu kutokana na kutowachosha wasomaji.Nabii Malaki ana sifa zote za kuwa nabii wa kweli(Malaki 4:4).Na amesema hatabadili neno lililotoka mdomoni mwake(Zaburi 89:34).Alisema ikumbuke siku ya sabato uitakase(kutoka 20:8-11).Hajabadili,na hatabadili.Hata katika Yerusalemu mpya itaendelea kuwepo(ISAYA 66:22-23).Na akatutahadhalisha hivi;manabii wataendelea kuja.Ila watakuwa na ujumbe mmoja tu wakusisitiza sheria yake ile ile iliyotolewa Kwa mkono wa Musa(ISAYA 8:20).Sasa anakuja nabii anasema yeye ni nabii aliyetumwa na MUNGU wa Musa halafu anapinga amri alizopewa Musa!
 
Sio kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…