Pemba ni hatari , ndio maana nimeikweka ya kwanza , nimekaa miaka 2 huko.Jamani pemba!!! 😭 Nilikuwa huko November 2024.
Asubuhi makazini si watu tunakuwa tumeoga tumepiga mswaki? Nategemea ndio muda watu wanakuwa wasafi kuliko muda wote. Ila hizo vumba zinazosikika…!!!!
Chimpumu, kindi,komoni unategemea harufu gani itoke mdomoniNi kweli kabisa,, machalii wa mbeya wajitafakari,, waelimishane kuhusu afya ya kinywa
Mademu zao vipi wanajua kukususia ujilie hadi umwage ubongo?Pemba ni hatari , ndio maana nimeikweka ya kwanza , nimekaa miaka 2 huko.
Hao ni namba moja ,tena wanafanya makusudi ...Ukikutana na watu kumi wa huko basi tisa wanatema.Mkuu kumbe na huko mambo mabaya?
Basi hii kampeni iwe ya nchi nzima aiser.
Hao wanajitakia , wengi hawapigi mswaki ...kuna wala mirungj na sigara wanajisahau sana ..Mtu akishakula hayo madude anaona mdogo uko sawa ila ananuka.Mademu zao vipi wanajua kukususia ujilie hadi umwage ubongo?
Hapa JF Maghayo Busu la Kenge anaongoza kwa kunuka domo yaani linavuta mibange yake linakuja Jf kuchat sasa changanya domo baya na miharufu ya bange ni shida tupu.Jamani pemba!!! 😭 Nilikuwa huko November 2024.
Asubuhi makazini si watu tunakuwa tumeoga tumepiga mswaki? Nategemea ndio muda watu wanakuwa wasafi kuliko muda wote. Ila hizo vumba zinazosikika…!!!!
Chaliii ya chuga is isinuke mdomo kwasababu moshi wa sigara inasitiriSijawahi kukutana na chalii ya chuga ananuka mdomo.
Kutana na domo la kinyakyusa, woiiiii utazimia harufu inayotoka humo ni kama MVUKE WA MATUFUNYUNGU.
Cc: Mbaga Jr The Icebreaker Poor Brain Harmful Kalpana binti kiziwi
Lile shia lazima linukeHapa JF Maghayo Busu la Kenge anaongoza kwa kunuka domo yaani linavuta mibange yake linakuja Jf kuchat sasa changanya domo baya na miharufu ya bange ni shida tupu.