Maeneo haya kampeni ya afya ya kinywa ikafanyike sana, hali ni mbaya

Kuna wale wasukuma wavaa sketi wanaishi maporini aaa kudadeki wale usiombe ukukaa nae siti moja kwenye basi.
 
Pemba, Kagera, Mbeya kuna uambukizo mwingi tu wa H.pylori, kutokana na namna wanavoishi (communal eating, crowded living etc.) watu wananuka vinywa sababu pia ya hayo maambukizo sio ishu ya usafi wa meno pekee.
 
1. Pemba
2. Unguja
3. Shinyanga
4. Mbeya
5. Kondoa
6. Kagera

Nb maeneo hayo Nimeyapanga kutoka juu kwenda kwenye unafuu.

Mikoa hii hakuna wimbi la watu wanaonuka midomo hongereni
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Tanga
4. Tabora
Kilimanjaro hoyeee
 

Zipo zinauzwa kwenye supermarkets. Ni muhimu sana kuwa nayo
 
Ni supermarket tu ?
Naona mara nyingi wao wanakuwa nazo. Maduka ya kawaida sijawahi ona. Kama upo sehemu hakuna supermarkets, tumia uzi tu wa nguo. Nao unafanya kazi ile ile (kuondoa mabaki ya vyakula)
 
Me niliwahi mwambia wife
Me niliwahi jitoa muhanga nikamwambia wife K inanuka.! akajirekebisha.

Balaa likahamia kwangu akaniambia mipombe yangu inamchefua kiasi kwamba migenye inamkwisha nikipumua karibu yake.!

Niko hapa kama paka mtia huruma na gambe siwezi Acha, hizi tabia za kujifanya mjuaji zimenimaliza kiranga chote
 
Utakuwa unakunywa pombe kali labda hasa konyagi na kvant, au aliamua na wewe kukukomesha tu
 
Pemba, Kagera, Mbeya kuna uambukizo mwingi tu wa H.pylori, kutokana na namna wanavoishi (communal eating, crowded living etc.) watu wananuka vinywa sababu pia ya hayo maambukizo sio ishu ya usafi wa meno pekee.
Inawezekana ndo maana ukanda huo ishu ya madonda tumbo na gesi ipo kwa watu wengi sana ukanda huo
 
Ahsante sana kwa muongozo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…