Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Umesema ukweli kabisa, nilikuwa lyamungo ukichek view ya mlima Kilimanjaro na ukiwa umbwe zina utofauti hafu umbwe inakuwa km ipo juu kiasi japo ni nje ya mada, cc secretarybirdKwenye mageti kama Umbwe na vijiji vya karibu kuna watu wengi Tu wanaishi, na baridi maeneo hayo ni single digit centigrade, hatuna Tu vifaa vya kisasa vya kupimia Ila zipo data za zamani zinaonesha maeneo ya Kilimanjaro (sio Mlima) joto linafika -2 °C, Iringa lowest recorderd ni 0.
Na hivi vitu sio rocket science Jinsi altitude inavyokua kubwa na baridi inaongezeka, sehemu kama Njombe altitude yake ni roughly 1900M, sehemu kama Umbwe, machame, Mweka, Materuni altitude ni 1600-2000, kuna watu wanaishi na kulima kwenye hizo slope za milima it's just kunatofautiana hii ramani unaweza ukaona View attachment 3641893
Mimi nimepata bahati ya kutembelea maeneo mengi around kibosho hio, ukiwa hai ama kibosho mwisho hapo zinpoishia daladala, na ukipanda Machame ama umbwe kwenda juu Milimani you can feel kabisa utofauti, Ukilala Lyamungo na Ukilala Umbwe japo ni karibu km chache unahisi kabisa baridi ni Kali zaidi Umbwe, kila km kadhaa ukipanda baridi inaongezeka kwa kasi.
Ile baridi iache kabisa!Umesema ukweli kabisa, nilikuwa lyamungo ukichek view ya mlima Kilimanjaro na ukiwa umbwe zina utofauti hafu umbwe inakuwa km ipo juu kiasi japo ni nje ya mada, cc secretarybird
Busokelo ya lwangwa au ya kandete?Kati ya sehemu nmewahi kutembelea nikafurahia ni Busokelo. Tulikuwa na kazi huko katika ngazi ya kata. Kata zilikuwa 12 nadhani.
Kama Karagwe, Bukoba na Ngara basi hii list ni ya MalawiSitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.
Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na mipaka iliyowekwa na serikali, labda na wakoloni pia, maeneo haya Kwa umoja wake ni
Sehemu ya Makete + Tukuyu + Mbeya Vijijini
Kimsingi maeneo haya yamepakana, ndo mana si makete pekee kuna barafu, hata mbeya vijijini na tukuyu, na ni maeneo yametenganishwa na mstari wa mpaka, hivyo kutoka sehemu moja kwenda ingine ni nusu hatuna at the border point
Lwangwa hapo zilipokuwa ofisi za Halmashauri, ziliendelea kuwapo hapo? Itete, Kandete, Lufilyo, Itete,Isange, Kandete.Busokelo ya lwangwa au ya kandete?
Huko kote wachumba tu kwa huko makete katika swala la baridi ni hatari4. Ikindinga huko Arusha
5. Ngorongoro Crater
6. Rombo- Klm