Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

Wanaosema arusha cjui mosh kuna baridi surely wanakosea. Nilifika njombe siku moja naletewa chai direct toka jikoni kuinua niweke mdomoni chai ishaganda haitikisiki kwenye kikombe tangu cku hiyo chai na mimi ni maadui. Hadi supu ilibidi nipewe jiko na sufuria kabisa nikaweka supu jikoni ili natoa jikon nakunywa tena narudisha jikon ili isigande. Njombe konyagi utakunywa hata 8 na hulewi. njombe isikie tu.
 
Halafu utashangaa midomo inaungua chai ya Moto huisikii 😅😅
 
yani mtu siku ya kwanza unafika makete na unafikia kufua boxer
 
Nataka nikatalii nione na mimi nyumba za wageni za bei raisi zipo
kama afya mgogolo na wewe umekulia DSM sikushauri uende kipindi huki kama mm kipindi hiki utakufa !!

hiyo njombe kuna mwaka nilienda ilikuwa mwenzi wa sita katikati ilibidi nikae wiki ila docta akarecomand nirudishwe kwetu DSM mana sio tu kuwa nilokuwa natia huruma ila hata wenyeji wenyewe walikuwa wanasema huyu mtu wa dar es salaam haoawezi huku bora arudi kwako sasa njombe hivi halafu ndio wanataka waende huko mapolini amabko huko sasa ndio balaa kina mpk hiyo snow wanasema kunasehemu tulitakiwa twende kunaitwa kitola sijui kituli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…