Maeneo mengi ujenzi wa SGR umesimama


Imebidi nicheke kwa nguvu, eti walitumika na CCM kumchafua na kumsafisha Lowassa, CCM hawana ujanja huo boss, ni kweli wana mabavu ya vyombo vya dola, lakini sio ujanja huo. Kilichotokea ni ujinga wa wazi wa viongozi wa CDM haswa Mbowe na genge lake kumpokea Lowassa, lakini sio kwa mipango ya CCM. Usitake kucheza na maneno ili kupotosha hali ile.
 
tatizo usifiaji umekuwa mkubwa kuliko uhalisia wa mambo

sasa imagine hata viporo tu kumalizia ni shida,je itawezekana kuanzishwa kwa miradi mipya mingine?

Mungu tu asaidie kuvusha hili Taifa.
Wanasifiana ujinga... halafu wale wote kichwani hamna kitu, na wameridhika kuwa na kuitwa chawa!! Upuuzi mtupu
 
Naendelea kutafakari ntarudi kuchangia
 
Kwa hiyo huko Kenya ndiyo wamefanikiwa
 
kwa kasi hii tuliyokuwa nayo yakuagiza malori, mabus na kufungua petrol stations kila kona ya barabara kuna maajabu utayasikia tu.
 
Sasa inakuwaje bado ccm ipo madarakani? kwanini hamchukui hatua ?
 
Unaona waziri anaagiza youtong 100 unategemea sgr ijengwe ili imfaidishe nani
 
Magufuli alipata fursa hii bahati mbaya kwake ujinga na ujuaji ukammaliza.
 
Ndio hao hao walioshika kwenye mpini. Wananchi mmeshika huku kwingine.
Kibaya zaidi kila uchao wanashindana kuingiza mabasi. Siku hizi unasikia mgogo kaingiza 20, mnyaturu 100, mkwere kaingiza malori 500, msambaa pikipiki 10, mrangi baiskeli tatu.
[emoji1]

Ova
 
Wabunge wangekua wamechaguliwa kihalali haya Mambo yangewekwa hadharani.
Sasa wabunge wenyewe ndio hao kina Gwajima, mzee Mdee, jesika aah Jeskaaa na Taletale pamoja na yule wa Korogwe vijijini.
 


Unasema habari za uhakika kutoka kwa nani? Mkiendeleza uongo itabidi tumwambie webmaster akufute . Kama ni mawazo yako usiseme habari za uhakika sema kwa mawazo yangu!
 
Mbona hamkuvumilia kutokuchukua mkwanja kama mlikua na ubavuu. Ngoja tuwafuge tuuu.

Kwani ni hela za wañaccm, hizo ni kodi zetu, sio vibaya CDM wakichukua sehemu ya makusanyo ya kodi zao kisheria. Au unaumia ww jizi la kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…