Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Hayo mengine uliyosema kila mtu ana mtazamo wake hivyo ibakie hivyo.
Kuhusu wapinzani kuingia kwenye mtego wa upinzani feki within CCM kwamba wanachochea kuni ni kitu cha kijinga kwao. Kwanza mambo mengi yako engineered na CCM na wao wenyewe wanajua jinsi ya kutatua kama walivyowatumia kumsafisha EL ambaye waliwatumia pia kumchafua.
Shortly tuna upinzani feki huku nje while huko ndani executives ni washkaji na wanajua wanachofanya. Ndio maana tunapoona mtu mwenye msimamo kama Lissu tunatamani asiingie mtegoni akomboe hivi vyama. Bahati mbaya hizi complications za awamu ya tano zinaweza kuwa zimesha mdilute!
Tuna wanasiasa wachache wa ukweli huko upinzani lakini vyama vina wenyewe na ndio wanaoamua directions sio akina Heche wala Lissu wanaoitwa Conservative now days [emoji58]
Imebidi nicheke kwa nguvu, eti walitumika na CCM kumchafua na kumsafisha Lowassa, CCM hawana ujanja huo boss, ni kweli wana mabavu ya vyombo vya dola, lakini sio ujanja huo. Kilichotokea ni ujinga wa wazi wa viongozi wa CDM haswa Mbowe na genge lake kumpokea Lowassa, lakini sio kwa mipango ya CCM. Usitake kucheza na maneno ili kupotosha hali ile.