Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

Mjomba angu kaoa huko mara na mke wangu huwa anaonekana yupo fit na mjomba hajapitia mambo ya ugomvi lakin huwa nashangaa anampiga huyo mwanamke(ila ni kama huyo mwanamke huwa anamuacha tu mjomba wetu)

Kuna jamaa alisoma na huyo mwanamke anasema walikuwa wanamtegemea kwenye ugomvi wanapoenda kwenye michezo alikuwa anapigana mpaka na vijana wa kiume
 
KAMWE Sio mimi, kwnz nafikaje huko kwaajili ya Mwanamke?
Hutafika kwa hiari, utatii bila shurti., kuomba msamaha juu. Unakumbuka yule mama wa Tarime aliyevunja rekodi ya kuwanyang'anya majambazi bunduki mara mbili tofauti, alipovamiwa na mmewe kukimbia kila tukio ? Sasa jifanye kiherehere ujichanganye uoe utawekewe meno ya bandia.
 
Kumbe ndio maana unabondwa....

Kuishi na Mwanamke haihitaji maguvu ya kupigana au ubabe wa mwili kijana

Mwanaume akiwa na akili hata kama ana 20 yrs anaishi na mwanamke mkorofi wa miaka 40

Unanifanya nihisi hujapita jandoni
 
Mwanamke mkorofi dawa yake rungu piga rungu kichwa upara mpaka anaita baba huyo akikuona anakusalimia
 
Kumbe ndio maana unabondwa....

Kuishi na Mwanamke haihitaji maguvu ya kupigana au ubabe wa mwili kijana

Mwanaume akiwa na akili hata kama ana 20 yrs anaishi na mwanamke mkorofi wa miaka 40

Unanifanya nihisi hujapita jandoni
Sawa, nilitaka kusema tu, kuna baadhi ya wanawake,,.si wote, usikurupuke utaaibika na ndevu zako. Hayo ya jando ni tamaduni tu,, wengine huenda na wengine sio muhimu.
 
Kil
Kilimanjaro kama ww ni bogus mwanaume wa vijiweni na msuli kazi kucheza bao siku nzima kusubiria korosho tafadhali usioe.

Utateseka bure uanze kusema wanawake wa kilimanjaro hawafai tafuta tu mdengekelo,mzaramo au mmakonde hao mtaendana
 
Hao ndio wanawake, kuliko Wanyantuzu(wasukuma) hawa wanaroga mpka mapaka..

Comment yangu isiguswe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…