Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Hivi inakuwaje mpaka upigwe na mkeo? Dah ndoa zina mambo saana any way kuna wimbo unaimba "huyo ni chaguo lako chaguo lako hata kama ni mfupi chaguo lako"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa umesema mulemule tu hawa wote wanapenda mtifuano hata mwanaume wanapenda waolewe na mwanaume mtata mtata tu chakalamu vululuvululu ngumi mkononi roho begani atakae muwahi mwenzie ndio mshindiKama kijana ni dhaifu usioe huko. Wachagga, Wapare, Wakurya na Wameru wanawezana wenyewe kwa wenyewe.
Nyie ndio hamna sauti ndani kwa kujifanya mnajua kuishi na wanawake vizuri.Kumbe ndio maana unabondwa....
Kuishi na Mwanamke haihitaji maguvu ya kupigana au ubabe wa mwili kijana
Mwanaume akiwa na akili hata kama ana 20 yrs anaishi na mwanamke mkorofi wa miaka 40
Unanifanya nihisi hujapita jandoni
Nakazia msingi kujiaminiAcha uoga jiamini Mwanaume
Mwanaume kama unasimamisha hutakiwi kumuogopa Mwanamke yeyote anayekojoa amechuchumaa
Mabro zangu wote wameoa sehemu fulani ipo Iringa somewhere in Mafinga imepakana na Njombe yaan km unaenda Makambako kwa mbele km unaelekea Makete na Mimi nikasema nikiwa mkubwa nitaenda kutafuta wanawake huko nioe hata mmoja tu maana wanawake wa huko hawana desturi ya kukimbia nyumba zao hata kitokee kitu gani ni watiifu sana kuna bro mmoja chakalamu kaoa mmasai na fresh kabisa maana masai wanapenda mwanaume anaepandisha mori km morani kikinuka wananusanaNilikuta mmarangu kapanda hewan kama kilimanjaro hapo ndani jamaa akizingua zinapangwa....
Kwa hio wanaowaacha wanawake pasua kichwa hawajiamini? Tulizeni vichwa kabla hamjaandika nna bro alikuja kuchukua point 3 alipomtoa meno yote ya barazani mkewe yakaenda kumaliziwa kwenye dawati la jinsia usuluhishi wa Ndoa kuanzia hapo mke heshima imefuata mkondo na mkewe anatoka hizo kanda zilizotajwa hapo ni watata yaan anaweza akatulia kwa kipindi fulani tu then balaa linaanza upya analianzisha tu from no where yeye furaha yake ni ugomvi nvurugano ushari shari kukiwa na amani hapati furaha apigwe makofi angalau abutuliwe kichwa channel zisome bila hivyo anakuona mwanaume fala tu,Nakazia msingi kujiamini
Sio kila mwanamke ana tabia za huyo uliemrefer mkuu.Kwa hio wanaowaacha wanawake pasua kichwa hawajiamini? Tulizeni vichwa kabla hamjaandika nna bro alikuja kuchukua point 3 alipomtoa meno yote ya barazani mkewe yakaenda kumaliziwa kwenye dawati la jinsia usuluhishi wa Ndoa kuanzia hapo mke heshima imefuata mkondo na mkewe anatoka hizo kanda zilizotajwa hapo ni watata yaan anaweza akatulia kwa kipindi fulani tu then balaa linaanza upya analianzisha tu from no where yeye furaha yake ni ugomvi nvurugano ushari shari kukiwa na amani hapati furaha apigwe makofi angalau abutuliwe kichwa channel zisome bila hivyo anakuona mwanaume fala tu,
Soma tena nilichokiandika inaonekana kuelewa kwako ni kugumu sana read between the lines then check n balance kabla huja-draw Conclusion,Sio kila mwanamke ana tabia za huyo uliemrefer mkuu.
Nmekuelewa mkuuSoma tena nilichokiandika inaonekana kuelewa kwako ni kugumu sana read between the lines then check n balance kabla huja-draw Conclusion,
Jando muhimu sana kwa Mwanaume Rijali...Sawa, nilitaka kusema tu, kuna baadhi ya wanawake,,.si wote, usikurupuke utaaibika na ndevu zako. Hayo ya jando ni tamaduni tu,, wengine huenda na wengine sio muhimu.
Nikikosa sauti ya Ubaba kwenye ndoa yangu si bora nivunje hiyo ndoa?Nyie ndio hamna sauti ndani kwa kujifanya mnajua kuishi na wanawake vizuri.
Mwambie kabisa experience ya Jandoni km upo kwenye movie ya Shaka Zulu halafu umepelekwa Jando km Morani wa kimasai porini huko ni kupishana na wanyama wakali tu ndumba na ngwese mkononi achana na Jando la kukaa nyumbani eti unakaa kabisa na mama yako anakusongea ugali ndio upo Jandoni hapo, ogopa kijana alieenda Jando la wanyama wa kaliJando muhimu sana kwa Mwanaume Rijali...
Hakuna Mwanaume aliyeenda Jando anabondwa na Mkewe
Vijana wanashangaza sana, eti wanaogopa kuoa Wanawake flan kisa watapigwa....la HaulaMwambie kabisa experience ya Jandoni km upo kwenye movie ya Shaka Zulu halafu umepelekwa Jando km Morani wa kimasai porini huko ni kupishana na wanyama wakali tu ndumba na ngwese mkononi achana na Jando la kukaa nyumbani eti unakaa kabisa na mama yako anakusongea ugali ndio upo Jandoni hapo, ogopa kijana alieenda Jando la wanyama wa kali
Hutakiwi kuogopa ila lazima uchukue tahadhari kuna msemo unasema unachokidharau ndicho kitakachokumaliza ni sawa ukidharau kisu ila mtu akikutifua nacho cha mbavu dakika 10 nyingi ushaenda na majiVijana wanashangaza sana, eti wanaogopa kuoa Wanawake flan kisa watapigwa....la Haula
Baba zetu wangeogopa Wanawake sisi tungezaliwa?
Kiama hiki
Huwa nawashangaa watu kwa ujuaji, wanawake wa kikurya ni very humble na wamama wazuri sana kwa familia zao. Angesema wanaume wa kikurya ndio wana ubabe ningemuelewa. Ila hawa dada na wake zetu wako poa sana kuwaweka ndani kama wake.Nilikuwa nawaogopa wakurya lakini mjini sijasikia visa vyao kama wachaga