Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha.
Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume.

Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini karibu wote ni vile vile.

Mkoa wa Arusha. Hapa kuna makabila mengi lakini Wameru ni hatari ndio nawalenga hasa. Ukioa huku utaendeshwa kama gari bovu.

Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla hujapinga hoja hii chunguza kwanza ww mwenyewe ndugu zako waliooa wanawake wanaotoka mkoa huu. Ni watata, wajuaji wanaopenda kuwa viongozi wa familia badala ya wanaume. Kupigana kama mwanaume ni dhaifu utapigwa sana na hata kufukuzwa kwako. Kama kijana ni dhaifu usioe huko. Wachagga, Wapare, Wakurya na Wameru wanawezana wenyewe kwa wenyewe.
List.
Haijakamilika umesahau wanawake wa KYELA.
 
Sio wote wapo hivo bora kuomba Mungu upate mtu sahihi na mwenye hofu na Mungu,,,mana kuchagua unaweza usioe kabisa,,,,,,, hata hizo kabila nyingine pia zana watu sio kama warangi, hawa wanawezana wenyewe,,,watu wasingida, wanaume wa kipare na wakisukuma ,watu wa mara,,wapemba kama sio mtu wa kuongea utajuta wanaume zao wanaoa waswahili siku hizi,,, wazaramo,,, wahaya na watu wa kusini hawa ni wote sio wanaume sio wanawake wote sio
 
Asilimia kubwa wapo hivyo
 
Mpaka leo Kuna wanandoa wanapigana? Kwamba uwezo wao wa akili ni mdogo kiasi kwamba inabidi watumie Nguvu sasa maana akili haifanyi kazi.
Mnaoanaje watu msio na akili ambao ufikiri wenu unawaambia mtatatua changamoto zenu kwa kutumia Nguvu.
Don't work hard work smart.
 
Back
Top Bottom