Umewahi kusikia kisa cha mwanamke wa kikurya kumpiga mumewe? hilo ni nadra sana sana.Kweli, ila uko kwao naskia visa adi kwenye radio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kusikia kisa cha mwanamke wa kikurya kumpiga mumewe? hilo ni nadra sana sana.Kweli, ila uko kwao naskia visa adi kwenye radio
Hatimaye min -me ni mangi🤣Kilimanjaro ,kama hauna akili ya kupambana kiuchumi usioe kabisa , hawa mabinti zetu tumewatengeneza wawe wapambanaji na wahamasishaji wa maendeleo kwa nzia ngazi ya familia, na ilikua ni kwa faida zetu wenyewe na jamii yetu , sasa wewe ukiwa mvivu na ukaoa usitoe milio ya Nokia vumilia ,hilo ni chaguo lako.
Hatimaye min -me ni mangi🤣
Kwanza kuoa mchaga inahitaji moyo sana.
Mabinti hawako romantic hadi aone kibunda kikubwa mnoo mezani😂😂😂
Nina rafiki zangu humu binti za kichaga ruksa kunitolea povu😂
View: https://www.instagram.com/reel/DBZZvOyqZKG/?igsh=MXQ5aXRqc3k5Z2Z5Ng==
Wapi wanyaki?Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha.
Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume.
Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini karibu wote ni vile vile.
Mkoa wa Arusha. Hapa kuna makabila mengi lakini Wameru ni hatari ndio nawalenga hasa. Ukioa huku utaendeshwa kama gari bovu.
Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla hujapinga hoja hii chunguza kwanza ww mwenyewe ndugu zako waliooa wanawake wanaotoka mkoa huu. Ni watata, wajuaji wanaopenda kuwa viongozi wa familia badala ya wanaume. Kupigana kama mwanaume ni dhaifu utapigwa sana na hata kufukuzwa kwako. Kama kijana ni dhaifu usioe huko. Wachagga, Wapare, Wakurya na Wameru wanawezana wenyewe kwa wenyewe.
I think umechanganya ilitakiwa isomeke "wanaume wa kenya" na si "wanaume wa kitanzania" .Wanaume wa kitanzania mnajulikana kwa kupigwa na wake zenu.
Mmekaa lege lege Sana mpaka mnapigwa na wanawake
Hii ni tahadhari ila si sheria, amua mwenyewe kufuata qu kuacha.
Kuna mikoa inasifika kwa wanawake watata na jasiri na kubishana na mume.
Mkoa wa Mara. Wanawake hawa ni watiifu kwa waume lakini ukizingua zinapigwa kiroho safi nimetaja Mara japo wakuria ndio wanajulikana kwa ukorofi lakini karibu wote ni vile vile.
Mkoa wa Arusha. Hapa kuna makabila mengi lakini Wameru ni hatari ndio nawalenga hasa. Ukioa huku utaendeshwa kama gari bovu.
Mkoa wa Kilimanjaro. Kabla hujapinga hoja hii chunguza kwanza ww mwenyewe ndugu zako waliooa wanawake wanaotoka mkoa huu. Ni watata, wajuaji wanaopenda kuwa viongozi wa familia badala ya wanaume. Kupigana kama mwanaume ni dhaifu utapigwa sana na hata kufukuzwa kwako. Kama kijana ni dhaifu usioe huko. Wachagga, Wapare, Wakurya na Wameru wanawezana wenyewe kwa wenyewe.
Lakini wachaga na wapare ni wazuuriKilimanjaro ,kama hauna akili ya kupambana kiuchumi usioe kabisa , hawa mabinti zetu tumewatengeneza wawe wapambanaji na wahamasishaji wa maendeleo kwa nzia ngazi ya familia, na ilikua ni kwa faida zetu wenyewe na jamii yetu , sasa wewe ukiwa mvivu na ukaoa usitoe milio ya Nokia vumilia ,hilo ni chaguo lako.
akina mangi itabidi uwakubali tuLakini wachaga na wapare ni wazuuri
Ukichapwa utakuwa nini?akina mangi itabidi uwakubali tu
Mwanaume ni mwanaume tuu ,mm nashangaa wanaume Hawa wa mujin,,nyie vijana wala chips na nyanya zilizosagwa zkawekwa kwenye chupa,sjui tomato sosi,mara pili pili ya kusagwa sjui chili sosi,,miwa hamuwez tafuna mpka isagwe mnywe maji yake hiv mtaachwa kupigwa ?Wewe unakunya umesimama?
Utaogopa tu,hujakutana na mwanamke wewe....mtaishia kuchinjana mkuu
Dogo usifundshe wanaume uoga kabsaaHutafika kwa hiari, utatii bila shurti., kuomba msamaha juu. Unakumbuka yule mama wa Tarime aliyevunja rekodi ya kuwanyang'anya majambazi bunduki mara mbili tofauti, alipovamiwa na mmewe kukimbia kila tukio ? Sasa jifanye kiherehere ujichanganye uoe utawekewe meno ya bandia.
Sawa mzeeDogo usifundshe wanaume uoga kabsaa
Mwanamke akikupenda anakua mpole ata kama akiwa Komandoo.Mjomba angu kaoa huko mara na mke wangu huwa anaonekana yupo fit na mjomba hajapitia mambo ya ugomvi lakin huwa nashangaa anampiga huyo mwanamke(ila ni kama huyo mwanamke huwa anamuacha tu mjomba wetu)
Kuna jamaa alisoma na huyo mwanamke anasema walikuwa wanamtegemea kwenye ugomvi wanapoenda kwenye michezo alikuwa anapigana mpaka na vijana wa kiume