Maeneo wanayotoka wanawake watata, jasiri na wanaoweza kubishana na mume

Ukipigwa na mwanamke ambae sio ndugu yako wala mwalimu basi wew ni shoga yan anidunde?! Aaah haipo hio na haitawah kutokea labda niwe tahira
 
Hatimaye min -me ni mangi🤣

Kwanza kuoa mchaga inahitaji moyo sana.
Mabinti hawako romantic hadi aone kibunda kikubwa mnoo mezani😂😂😂
Nina rafiki zangu humu binti za kichaga ruksa kunitolea povu😂

View: https://www.instagram.com/reel/DBZZvOyqZKG/?igsh=MXQ5aXRqc3k5Z2Z5Ng==
 
Wanaume wa kitanzania mnajulikana kwa kupigwa na wake zenu.
Mmekaa lege lege Sana mpaka mnapigwa na wanawake
 
Wapi wanyaki?
 

Huwajui wa Arusha wala wa kilimanjaro
 
Lakini wachaga na wapare ni wazuuri
 
Wewe unakunya umesimama?
Utaogopa tu,hujakutana na mwanamke wewe....mtaishia kuchinjana mkuu
Mwanaume ni mwanaume tuu ,mm nashangaa wanaume Hawa wa mujin,,nyie vijana wala chips na nyanya zilizosagwa zkawekwa kwenye chupa,sjui tomato sosi,mara pili pili ya kusagwa sjui chili sosi,,miwa hamuwez tafuna mpka isagwe mnywe maji yake hiv mtaachwa kupigwa ?
 
Dogo usifundshe wanaume uoga kabsaa
 
Ukipigwa na mwanamke ambae sio ndugu yako wala mwalimu basi wew ni shoga yan anidunde?! Aaah haipo hio na haitawah kutokea labda niwe tahira
Oa mchaga uone show
 
Mkuu usiogope mabinti wa kichaga ukiwajulia utafurahia maisha sana🤣🤣🤣🤣🤣
Utafurahia kama ukikubali kuwa chini yake na ukubali kuendeshwa kama gari bovu. Mtaani kuna wanandoa wanateseka sana
 
Mwanamke akikupenda anakua mpole ata kama akiwa Komandoo.
 
Mada za ukabila ndio msimu wake huu .....Mnapoteza baadhi ya members humu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…