Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

Nilikua napachukulia poa kumbe ndomoto hivi[emoji849][emoji849]imamaana akishalipa hiyo 1.5m ni pake kabisa??

Kingsmann
Ukishalipa hiyo eneo linakuwa lako, ukishindwa unaweza kukodisha mtu au kuuza, thamani yake inapanda kila siku kiongozi. Usione vile vibanda tu, vinaharibu mandhari ya mji kwa kuonekana vichafu, lakini kuna watu na familia zao wapo pale na wanategemewa kabisa.
 
Mpeleke kule chini karibu na ilipo safari bar...kuna biahaara sana kule ila pia inategemea na biashara anayotaka,kule biashara za maduka ya jumla na nafaka ndio kwenyewe
Tena hayo maeneo unayesema kuna dalali kanipigia simu leo kuna kama fremu mbili ziko wazi watu wameachia siku mbili hizi
 
Ukishalipa hiyo eneo linakuwa lako, ukishindwa unaweza kukodisha mtu au kuuza, thamani yake inapanda kila siku kiongozi. Usione vile vibanda tu, vinaharibu mandhari ya mji kwa kuonekana vichafu, lakini kuna watu na familia zao wapo pale na wanategemewa kabisa.
Mlimtumia dalali kupata hilo eneo au??pole kwa maswali niko interested na hii ishu

Kingsmann
 
Tena hayo maeneo unayesema kuna dalali kanipigia simu leo kuna kama fremu mbili ziko wazi watu wameachia siku mbili hizi
Kuna wale wenye zile bucha pale nadhani wanauza ng'ombe 10 kwa siku...
Kuna biashara sana kule ukiwa na mtaji mkubwa
 
Back
Top Bottom