mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
we kijana ukisikia sehemu kuna baridi tz mtu akataja makete,huruhusiwi kutaja eneo jingine.Wala huijui hii nchi, unaongelea tu maeneo ambayo labda ulipita kwa barabara
Lkn Gairo Morogoro - baridi kali
Kondoa, Babati, Katesh - baridi kali sana
Singida Kaskazini yote - baridi kali sana
baridi unalozungumzia la upepo hata hapo kibaigwa dodoma lipo,huko kwa wanyalu ngoma haipulizi imatulia tuliiiii,ila na ugeni wako wa kutokea dsm ukifika huogi wiki nzima.