Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kateshi ni amshaWala huijui hii nchi, unaongelea tu maeneo ambayo labda ulipita kwa barabara
Lkn Gairo Morogoro - baridi kali
Kondoa, Babati, Katesh - baridi kali sana
Singida Kaskazini yote - baridi kali sana
Mwaniwane mie sijabarikiwa akili. So siweza waza mambo makubwa.Ha ha ha mzabzab wewe muda wote unawaza mbususu tu?
Ah bola baridi bwana lakini sio joto. Joto huwezi tembea uchiBaridi halicontrolleki.silitaki yaani.
We jamaa huijui baridi ya sgd aisee nenda sehemu moja inaitwa mitundu itigi utajua upo ndani ya friji
Tatizo hakuna data za ku-backup maelezo yenu. Inatakiwa ukisema sehemu fulani ina baridi basi uwe na data za nyuzijoto. Sisi binadamu kuna uwezekano kabisa wa ubongo wetu kutupotosha tofauti kabisa na hali halisi. Kwenye kupima joto/ubaridi kuna kuzingatia vitu viwili. 1. Actual temperature na ''feel like'' temperature. Sehemu mbili zinaweza kabisa kuwa na nyuzi joto ya eg 10 degrees c, lakini ile ya kwanza baridi ikawa kali zaidi kwa sababu kuna upepo mkali hivyo ''feel like'' ikawa iko kwenye 7 degrees c, na ile nyingine kama haina upepo isiwe hivyo. Jambo jingine. Sehemu kama Kilimanjaro inategemea uko wapi. Kilimanjaro kuna sehemu zenye joto utadhani uko Dar eg Lower Moshi wakati ukienda sehemu kama West Kilimanjaro kuna baridi kali.Nimeishi Mufindi, Mbeya na Arusha,
Kuhusu Njombe na Mufindi wala sina shaka ndizo sehemu zinazoongozoea kwa baridi.
Baridi ya Mbeya ikifika mwezi wa 6 huwa ni kali kiasi kuliko ya Arusha.
List iwe hivi
1. Njombe
2. Iringa
3. Mbeya
4. Arusha
Singida upepo ndiyo unafanya ile ''feel like'' temperature inakuwa ni ya baridi zaidi kulinganisha na hali halisi. Hata sehemu za Pare zenye jua kali wakati wa msimu wa baridi upepo unafanya mambo yawe mabaya zaidi. Nimefika Singida huko Itigi wakati wa vipindi vya baridi. Huwezi kufananisha na sehemu kama West Kilimanjaro au Lushoto milimani huko.Singida😃😃😃
Singida upepo ndiyo unafanya ile ''feel like'' temperature inakuwa ni ya baridi zaidi kulinganisha na hali halisi. Hata sehemu za Pare zenye jua kali wakati wa msimu wa baridi upepo unafanya mambo yawe mabaya zaidi. Nimefika Singida huko Itigi wakati wa vipindi vya baridi. Huwezi kufananisha na sehemu kama West Kilimanjaro au Lushoto milimani huko.
Nisamehe natania tu 🙄😆😆😆
Mungu anakuona...
haki ya nani mungu anakuona,, na hatokuacha kwa hili
Soma tena kwa ufahamu nilichoandika.Siku ukifika Njombe utasema vingenevyo,
Singida ipo baridi ya kawaida
Hakuna baridi ya kutisha, hapa tunazungumzia Maeneo yenye baridi ya kutisha
Nimetembea nchi yote hii, acha utotoSiku ukifika Mafinga, au Makete utaelewa nilikuwa namaanisha nini.
Yaani unafananisha Babati sijui SINGIDA na vitu vya ajabu.
Hata Geographic Factor inakushinda
Nimetembea nchi yote hii, acha utoto
Mbona wakienda Zanzibar wana pafurahia sana na kule Zanzibar hakuna baridi ila jua kali kilizidi jua la Dar.Fuatilia vizuri wazungu wanapenda kuishi wapi. Dar ES Salaam joto kali sana mzungu hawezi kuishi hapo. Kama anaishi ni kwa sababu tu ya kazi. Wazungu wanapenda kuishi sehemu zenye baridi
Wanafurahia zile fukwe mkuu.Mbona wakienda Zanzibar wana pafurahia sana na kule Zanzibar hakuna baridi ila jua kali kilizidi jua la Dar.
Take your time uzunguke mkuu .if you stay at your home you'll live your entire life knowing your mom's dish is the best dunianWe jamaa huijui baridi ya sgd aisee nenda sehemu moja inaitwa mitundu itigi utajua upo ndani ya friji
Maadhimisho ya baridi kitaifa hufanyikia Njombe Kila mwakaNjombe ni balaa nimelala nimevaa tracksuit, koti zito,soksi nzito miguuni, na nimejifunika blanketi zito mbili, Njombe hoyee .