JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,863
Na walaya ya mbinga pia hadi mvua za maweArusha iz overated.
Njombe
Mbeya
Iringa
Hii mikoa weka mbali na watoto.
Kwa manispaa
Usisahau kuiiweka Sumbawanga.
Wilaya nje ya lushoto Kuna
Gairo nayo SI haba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na walaya ya mbinga pia hadi mvua za maweArusha iz overated.
Njombe
Mbeya
Iringa
Hii mikoa weka mbali na watoto.
Kwa manispaa
Usisahau kuiiweka Sumbawanga.
Wilaya nje ya lushoto Kuna
Gairo nayo SI haba
Newala iko juu mtwara iko chini karibu na bahari.Naunga mkono hoja wilaya ya NEWALA-MTWARA ni hatari sana, sijui imekuwaje kule kuwe na baridi vile afu Mtwara kuwe na joto.
Kwa ukanda wa kaskazini Mbulu inaongozaArusha iz overated.
Njombe
Mbeya
Iringa
Hii mikoa weka mbali na watoto.
Kwa manispaa
Usisahau kuiiweka Sumbawanga.
Wilaya nje ya lushoto Kuna
Gairo nayo SI haba
Last twi week nilikua Newala.Singida na Newala ziingie kwenye hiyo orodha aise
Newala, mahenge, Mgeta morogoro ,Ludewa kule napo siyo pakitoto ujue.
Dsm pamoja na joto kali lakini inawakimbiza kiuchumi mikoa yote Tanzania, sasa utachagua mwenyewe kuishi sehemu ya hali ya hewa nzuri au sehemu ya uhakika wa kukuza uchumiNatokea Njombe, sehemu yenye hali ya hewa nzuri kabisa. Mtu akisema nichague kuishi kati ya Njombe na Dar ES salaam, basi nitachagua kuishi Njombe, Nchi ya asali na maziwa. Hali ya hewa ya Dar ES Salaam ni mbovu, joto kali kama unabanikwa. Kesho andika na mikoa yenye joto kali. Joto kali halina faida yoyote ila baridi kali lina faida.
Tunaofanya hiyo Dsm iwe na uchumi ni sisi wenyewe watu wa kutoka kwenye mikoa kama Njombe, Mbeya, Iringa na mikoa mingine ya Nchi hii. Kwa hiyo usijisifu sana Dsm kukimbiza uchumi. Sisi wa mikoani ndiyo tumeijenga na kukuza huo uchumi unaojisifia hapo.Dsm pamoja na joto kali lakini inawakimbiza kiuchumi mikoa yote Tanzania, sasa utachagua mwenyewe kuishi sehemu ya hali ya hewa nzuri au sehemu ya uhakika wa kukuza uchumi
Halafu pia kilichoifanya hiyo Dsm kuwa juu kiuchumi siyo hali ya hewa ya joto au baridi, bali ni bandari hiyo, kuwepo kwa serikali(Ikulu) hapo kwa miaka mingi sana. Hata kama Dsm kungekuwa kuna baridi kali kama ya Njombe lazima ingekimbiza tu kiuchumi kulingana na sababu tajwa hapo juu. Kwa hiyo joto na baridi hazijaleta uchumi huo mkubwa sawa bwana Kipangaspecial ?Dsm pamoja na joto kali lakini inawakimbiza kiuchumi mikoa yote Tanzania, sasa utachagua mwenyewe kuishi sehemu ya hali ya hewa nzuri au sehemu ya uhakika wa kukuza uchumi
Mbona wazungu wao wanapenda sana joto na jua kuliko baridi yani wazungu wakija Africa wanafurahi sana na wanapenda sana Afrika kuliko sisi wenye bara letu, Maana wakija Afrika wanavaa nguo za kawaida ambazo kwao hawavai kwasababu ya baridiNatokea Njombe, sehemu yenye hali ya hewa nzuri kabisa. Mtu akisema nichague kuishi kati ya Njombe na Dar ES salaam, basi nitachagua kuishi Njombe, Nchi ya asali na maziwa. Hali ya hewa ya Dar ES Salaam ni mbovu, joto kali kama unabanikwa. Kesho andika na mikoa yenye joto kali. Joto kali halina faida yoyote ila baridi kali lina faida.
Mbinga baridi la kutosha,Sehemu zenye bardi ni
1.Njombe hasa makete
2.Ruvuma hasa mbinga
3. Mufindi iringa
4.Mbeya
5. Rukwa eg Sumbawanga
6. Arusha & na baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro eg Rombo, Sanya juu
7. Rushoto
Fuatilia vizuri wazungu wanapenda kuishi wapi. Dar ES Salaam joto kali sana mzungu hawezi kuishi hapo. Kama anaishi ni kwa sababu tu ya kazi. Wazungu wanapenda kuishi sehemu zenye baridiMbona wazungu wao wanapenda sana joto na jua kuliko baridi yani wazungu wakija Africa wanafurahi sana na wanapenda sana Afrika kuliko sisi wenye bara letu, Maana wakija Afrika wanavaa nguo za kawaida ambazo kwao hawavai kwasababu ya baridi
Wala huijui hii nchi, unaongelea tu maeneo ambayo labda ulipita kwa barabaraKwema Wadau!
Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi.
Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo ukifika unaweza kukimbia siku hiyohiyo.
Maeneo hayo ni Kama ifuatavyo;
1. Njombe!
Kwa Tanzania hakuna kama Njombe, ukianzia Makete, ludewa, Makambako, huko ukienda ujipange.
Huko ni baridi mwanzo mwisho😃😃.
Yaani ukifika msimu wa baridi ndio Hali unazidi kuwa ngumu.
Arusha na Moshi hapa wakasome Kwanza, Kwanza baridi Yao ni yamsimu, ingawaje yapo baadhi ya Maeneo Kama Rombo huko nako kuna baridi lakini haifikii hayo Maeneo hapo.
Nyumba zote za Maeneo ya Mkoa wa njombe na Iringa zina madirisha ya vioo na Dari za mbao kuepusha baridi kuingia lakini bado utaisikia tuu na lazima ufunike Yale mablanket makubwa.
2. Iringa, hasa wilaya Mufindi, Mafinga.
Mafinga na Makambaku ni pua na mdomo, Hali ya hewa zinafanana. Baridi mwanzo mwisho. Yaani miezi yote 12 baridi lipo, sema kuna kipindi linapungua lakini kipindi cha kiangazi baridi lake ni Sawa na kipindi cha baridi la baadhi ya mikoa Kama Pwani, na Dar, Dodoma, Singida, tabora n.k
3. Arusha.
Wakati mwingine watu waarusha baridi Lao wanadhani ndio linaongoza Tanzania lakini kimsingi sivyo, wao wanaweza kushika nafasi ya tatu wakichuana na Kilimanjaro.
4. Kilimanjaro, hasa Maeneo ya Moshi, Rombo, Moshi vijijini, Hai, Usangi, Chome, Suji, Tae n.k
Baridi la Maeneo ya marangu ukipanda Mlima Kilimanjaro nalo ni Kali, lakini haliumizi Kama lile baridi la Mafinga, au njombe huko.
5. Tanga, Lushoto.
Milima ya usambara imechangia Kwa kiasi kikubwa kuifanya wilaya ya lushoto na Maeneo ya karibu yanayozunguka Maeneo hayo.
6. Mbeya, Maeneo ya Mbeya Mjini, Rungwe, na Tukuyu kuelekea Kyela,
Baridi la Mbeya ni Kali ingawaje linamsimu wake..
7. Ruvuma
Ukaribu wa Songea na mkoa wa njombe ni Kama ilivyo Kwa ukaribu wa Moshi na Arusha.
Sehemu hizo Kwa hapa Tanzania kama unataka kujua nini maana ya baridi basi fika sehemu hizo, ingawaje yapo Maeneo mengine ya Mikoa Kama Morogoro Kama Turiani, na Maeneo ya Singer na Rukwa.
Nawasilisha
Wala huijui hii nchi, unaongelea tu maeneo ambayo labda ulipita kwa barabara
Lkn Gairo Morogoro - baridi kali
Kondoa, Babati, Katesh - baridi kali sana
Singida Kaskazini yote - baridi kali sana
Kuna sehemu inaitwa kitulo,juzi kati kitu kilifika 4°
😆😆😆Huku Meru kuna baridi kiasi kwamba ukilala na mwanamke mwembamba utadhani umelala na panga lililonyeshewa mvua
unayafahamu MA$EVE? waulize wenyeji huko Njombe!Kwema Wadau!